Jaman naombeni mnijuze,hivi nin maana ya proxy,na ni nini matumizi yake??ni neno ninaloliona kila siku halafu silielewi kabisa,shukrani kwa msaada wenu.
Wakuu,
Naomba kujuzwa na wataalam wa magari kati ya gari zenye injini ya I4 cylinder na V6 cylinder. Je ni kweli gari zenye injini ya v6 zinatumia mafuta mengi kuliko I4? Mfano nina gari lenye...
Ninampango wa kuuza bidhaa mbali za electronics kama vile simu za mikononi, laptop, flash disk, camera n.k. Ili niweze kufanikisha hilo ninaombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu juu ya soko...
kuna jamaa yangu mmoja anatoa huduma ya cable mkoani,anasema amesoma gazeti la leo juu ya mfumo wa digitali kwamba ataendelea kula bata,sijui hii makala inasemaje? nipo mkoani,naomba waliopitia...
Naomba mwenye utaalamu na java programming language aniandikie code ambayo ita jumlisha, toa, zidisha na kugawanya kwa kutumia applet viewer concept.
Please help!
Kampuni mpya ya simu za mkononi ya MYCELL inayomilikiwa na mfanyabiashara wa kitanzania yusuf manji, inatarajia kuanza kutoa huduma zake katika kipindi cha siku 15 zijazo kuanzia jana...
Kwenu
Wanajamvi
Salamu ama baada ya salamu kwa wale walio mbali na upeo wa macho yangu
Dhumuni la ujumbe huu Wanajamvi nimeona nianzishe hii thread kwa wale wenye movies nzuri na zenye quality...
Wakuu ninatumia mita ya umeme ya digital, lakini katika siku za karibuni imekuwa na tatizo.
Imekuwa inahesabu ikifika mahali inarudi kwenye 000.00 units then inaanza 001.00 na kuendelea.
Imekuwa...
Jamani wana jamii,
Nimetokea kuona kupitia kwa marafiki zangu wa uganda., wanaoshiriki kwenye grand challenges za Canada.
walinitaarifu niwapigie kura kwenye aplication zao..
baada ya kuangalia...
Nimedownload bbm kwenye cm yangu lakini cjui kuchat wala kufanya chochote,,,,, zaidi naishia tu kwenye facebook..... Naomba msaada maanacjawahi kuchart wala kutumia bbm......tafadhali sana nisaidieni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.