Hacking Yahoo Messenger
This tutorial will tell you how to hack yahoo messenger while you are engaged in chatting with some person. While you are chatting through yahoo messenger, Yahoo will...
Jamani nimenunua moderm ya airtel nikitegemea kupata internet free kwa miezi sita.ajabu leo imegoma mpaka ikabidi ninunue kifurushi cha siku ya leo.Naomba kama kuna mtu anaweza nisaidia labda kuna...
Haya jaman chakachua modem ya mtanadao wowote ili itumie line yoyote. Tembelea Unlock phone, modem or data card with DC-unlocker software vuta app inayoitwa dc unlocker uchakachue modem yako.
Wakuu, naombeni msaada wenu. Mimi ni mtumiaji wa AirTel, siku za nyuma nilikuwa nimejiunga kwenye huduma mojawapo ya jirushe, nilikuwa nikituma J500 kwenda 15558 napata dakika 40 kama sikosei...
Naomba msaada nilikuwa naadnika report nikaizima laptop kwa kupress power button moja kwa moja sasa hv nikiwasha inaniandikia disk failure press control + alt + delete ila nikipress inaniletea...
wadau kwenye flash yangu kuna virus ambao wameficha baadhi ya files. files zote za mp3 zimefichwa. nikiifunga flash kwa kutumia winrar files zinaonekana lakini nikizi-drag kwenye desktop...
Natumia nokia 2700, naomba msaada kwani ninapotaka kustream video za utube, inapoanza kustream inaonesha hadi hukubwa dakika za video ila haioneshi zaidi ya kunipa ujumbe kwenye screan ( NOTHING...
wakuu hiyo kitu mi inanichanganya sana,coz kila niki sign up ili niweze kupata matangazo kwa blog yangu,inanigomea,wanasema nitajibiwa baada ya saa 24 lakini hakuna chochote kinachokuja.nifanyeje...
Wakuu, wakat nafanya kazi kkwenye simu yangu, kuna mtu ameingiza wrong pin 3 times ikablock, sasa inadai PUK, nawezaje kupata PUK? Kikadi nilishakipoteza! Kuna njia ya kutuma meseji kwenda namba...
HABARI ma-great thinkers wote,
Mimi natumia modem ya sasatel kwa zaidi ya mwaka sasa, bali kuanzia mwezi novemba mwaka jana nilianza kushuhudia speed ya internet yangu ikiwa si stable kama awali...
MSAADA KUNA ANAYE WEZA KUCHAKACHUA TTCL BB MODERM,IWEZE KUSURF INTERNET BURE AU KAMA KUNA ALIYE NA PROXY ZINAZO KUBALI KWENYE TTCL BB ?NAOMBA ANISAIDIE :help:
Jamani wadau naomba mnijuze kuhusu haya mambo mawili tafadhali,1.hivi nini maana ya proxy na nini matumizi yake.2.nina modem yangu ya vodafone nimei unlock tangu mwaka jana na ninatumia airtel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.