wajuzi, nataka kununua samsung galaxy tab 10.1. ukiacha internet, ambayo nnayo ofisini na kwenye simu yangu, hii tab itanisaidiaje kwenye kazi zangu ambazo ni za kuandika zaidi? asanteni
Tangu wiki iliyopita nakuta saa ya simu yangu inapoteza majira; inakuwa mbele kwa dakika kati ya 20 na 30. Nimerekebisha mara nyingi lakini nakuta imeshabadilika, hadi nilipoamua kuweka off ile...
My USB thumb drive got infected by a trojan virus. All folders in the thumb drive had become shortcuts!
From the properties, the shortcut folder is pointing to 0x29ACAAD1.exe file. Kaspersky...
NILIPOKUWA "NA SURF" NILIFANIKIWA KUKUTANA NA HUYU MHINDI WA MODEM
By default, Huawei E220 can only support up to 3.6Mbps speed. In Malaysia, 3.6Mbps is the top speed that 3.5G broadband...
KATIKA PITA PITA YANGU NILIKUTANA NA HUYU MHINDI
Huawei modems comes with mobile partner default dashboard but it comes with outdated version here i am going to provide you latest version of...
Microsoft Word: Love it or hate it, practically everyone uses it. I've been using it so long, I thought I knew everything about it. But I stumbled across some super helpful shortcuts hidden...
Daa duka la simu huko Australia yani kama voda shop hivi lakini linauza ipad 3 ndo limekuwa kati ya kwanza kuiiuza na wakaitengenezea na keki babu kubwa ya meta moja
habari yote hapa
Habari zenu wadau, me tatizo langu ni kuwa kila napotumia internet ya wireless pc yangu inakua nzito sana, i mean inakua kama ina-stuck, yan hata ukifungua program zingine zinakua zinafnguka kwa...
Salamu nyingi kwenu wana JF,
Hii post ni kwa wale wenzangu wanaopenda kucheza game za mpira wa miguu..sasa hivi Fifa12 ndo kiboko yao na upatikanaji wake umekuwa mgumu sana..Mimi nipo hapa...
Wakuu nashindwa browse youtube kabsaa nadhani ISP kaibania naombeni msaada wenu jinsi ya kutatua hili tatizo ili niweze browse vitu mbalimbali katika hii website.
wandugu nilikuwa natumia window vista nikaiona kama inanizingua vile, sasa kuna best wangu mmoja kanibadilishia na kuniwekea window 7 ya kimagirini ci unajua tena kibongobongo tunavyopenda felelee...
Sasa Imekuwa awada kusikia kuna kesi ya IPad ddidi ya samsung au kesi ya Motorola dhidi ya Apple. Hivi sasa makapuni ya simu ushidani wao sio tu kwenye kuuza bidhaa za madukani bali pia kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.