Tangu nimetumia free internet simu yangu haifungui net kwenye browser yake wala kudownload hata kupitia opera wala uc browser naomba msaada wenu wakubwa
Kuna web cjui kama imeshawahi kuwa posted hapa lakini kama tayari basi kwa wale waliopitwa kama mimi link hii hapa, Serials & keys - unlocks the world. asilimia kubwa ya serial zinafanya kazi...
Natumia Nokia E51, kuna application nilizi install kila nikizitoa zinagoma na nyingine hazi respond kabisa., Njia ninayotumia ku uninstall ni menu>> app mng>>remove. Apps zenyewe ni snaptu...
Wakuu habari za muda huu
nina shida mwenye ujuzi naomba anisaidie,nime upgrade window yangu,sasa kwenye kuwasha cp inaniletea kiujumbe kama hiki
This copy of windows must be activated with...
[*=center]MWENYE KUFAHAMU TATIZO LIKO WAPI ANISAIDIE KUTATUA, FILES ZA EXCEL HAZIFUNGUKI NAPATA MESSAGE INASEMA THERE WAS A PROBLEM SENDING THE COMMAND TO THE PROGRAM Sijui tatizo liko wapi...
Wana jf natumaini wote mu wazima wa afya,ninaomba msaada wenu ninacomputer pentium4 dell tower.jana imeanza kuandika disk boot failer replace and press enter.nikiichek kwenye bios set up...
Wimbi la wizi wa pesa kupita simu za mikononi linavuma kwa kasi. Mbinu zinabadilika kila uchao. La kustahajabisha ni kuwa wezi wanakwenda level nyingine kabla ya hata makampuni ya simu wala TCRA...
Habari ya asubuhi wanajF!
Naomba msaada katika hili.
Nina moderm ya vodafone Mobile Broadband zte. Kila ninapounganisha na internet inakubali lakini kwenye IPv4 na IPv6 connectivity inaniambia...
wakuu,nina wiki moja natumia moderm ya voda free kucheza youtube video kwa zile IP adddres zilizotolewa na E2thmiza na wenzake.
lakini leo nimejaribu kuuunga kifurushi cha siku moja cha 150MB...
250Gb and 80Gb Together go for only 150,000tsh.also intel/celeron(D) processors 2.88GhZ and 3.06GhZ,and DVD Rom/RW are available for sale,get a free copy of windows xp 2009.contact me through...
Wakuu wa Jukwaa hili Wasalaam Aleykhum!
Kuna ofisi ya Mkulu moja ambaye anapenda Ku-Impliment Electronic Document & Records Management System.
Matarajio yake ni:
Kuwa na Paper less Office...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.