Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
modem yangu ya vodacom iv karibun imekua haisom gafla nme jaribu kuihamisha kutoka laptop moja kwenda nyingne lakin hamna kitu.. Msaada wenu wataalamu nifanyeje il iwez kufanya kaz ahsanten sana
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Tembelea link hii: http://www.ehow.com/m/list_7169020_computer-programming-courses-tanzania.html Sasa, baada ya kutembelea, vyuo vingine kama UDSM, UCC, MIST, UDOM, etc mpo wapi!? Let's be...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Been arguing with my playermates and havnt come into a conclusion....so any ideas wadau..?
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wana jf nina guest house natafuta vitasa vya kutumia kadi, maweza kupata wapi hapa Dar.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanaJF simu yangu N97 ukiwasha inakata mawasiliano kati ya screen na keypad ambapo screen haidisplay signal yeyote wakati keypad inawaka...nadhan nitatzo la mkanda sijui ntaupataje na...
0 Reactions
2 Replies
842 Views
Hv hii free internet ukii2mia afu mda wake ukaisha waweza 2ma tena?
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani basi jekundu limeamua kweli na sidhani kama litakwama kwani hivi sasa imeanzisha kitu cha 3·75G so sweet lets enjoy high speed internet souce clouds
1 Reactions
7 Replies
1K Views
(kwa wale wasiojua) ...Is back on track ila kwa sasa nikuanzia saa6 usiku.. enjoy:wink2:
0 Reactions
20 Replies
3K Views
wajuzi wa it,browsers zote kwenye laptop yangu yaani mozilla,ie,opera na google chrome hazifungui kabisa websites muhimu kama google.com,youtube, gmail etc lakini inafungua nyingine kama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanajamvi natafuta fundi mzuri wa isuzu. Kuna isuzu bighorn inazingua sana. Tatizo lake ukiiwasha ikiwa silance engine inavibrate kama ina miss. Kama kuna mtu ana contact za fundi mzuri au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani hizo proxy nnawekaje mbona mimi laini yangu haina ela niki put kwenye mozilla modem yangu ina sema connecting tu mda mrefu ila nikiweka money niki connect ina connect fasta nifanyaje iko...
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Naombeni msaada wenu wataalamu wa simu wa jinsi ya kuondoa virus kwenye Nokia 2730 classic. Nimejaribu kutumia hard reset code ambayo ni *#7370# lakini kwa bahati mbaya hii code haifanyi kazi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Details: DBTi is organizing a mobile app development course with Nokia! | Welcome to TANZICT!
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina digital camera yangu aina tajwa hapo juu.Juzi nilitumia nikapiga kama picha 40 hivi baada ya hapo sijui ni wapi niliigusa mpaka nikashindwa kuona picha zote nilizokuwa nimezipiga na ikawa...
0 Reactions
2 Replies
925 Views
I just completed my first website. was wondering if you all could take a look at it and give me ur feedback... would really appreciate your honest truth... thanks in advance!! Plan B &#8211...
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Hivi hii simu aina ya Nokia E51 inadai kua ina uwezo wa kua kama Modem hivi unaunganisha je? Pia na WLAN na WI-FI unazitumia je! Ningeshukuru kwa msaada wenu
0 Reactions
0 Replies
609 Views
taarifa nilizo nazo nimesikia wametoa huduma mpya ya unlimited ya nduki na wametenga vifurushi kwa aina kama nne na ni kwa mwezi na ina kasi nzuri, my take ni marketing tactics au kweli itakuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada wakuu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejikuta nimevamiwa na kirusi kinachojiita RECYCLER ambacho huambatana na folder jingine linanoji-create kwa jina la "System Volume Information" Naombeni njia rahisi ya kuiondoa hii kitu.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni msaada wakuu
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Back
Top Bottom