Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau mimi ni mpenzi wa movie, na ningependa kufahamu na mna gani naweza kudownload movie mpya online, asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
jaman nisaidien kuna yoyote anaeweza ku-unlock ii router ya vodafone iweze kutumia laini zote?
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Wadau, me natumia simu ya Nokia 2730 classic, napenda sana game ya REAL FOOTBALL, mwaka 201 0 nilidownload hii game version ya 2009 ikakubali na nikawa nacheza kama kawaida, mwaka 2010 huo huo...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Waungwa naombeni njia ya kutatua hili tatizo kwenye computer yangu...inaonyesha black screen na ujumbe wa THIS COPY OF WINDOW IS NOT GUNUINE... Nitashukuru saana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
WADAU, kwa yoyote yule anaejua link ambayo naweza pata mozilla firefox kuanzia version 10 na kuendelea naomba anisaidie, nimejaribu ku'google nikapata but ninapo'download zina'fail... msaada plz
0 Reactions
5 Replies
1K Views
guys plz help me in choosing 1 of da 2 course either Oracle Database Administration course and Linux system or Oracle Database Administration course and Windows :thinking:
0 Reactions
1 Replies
678 Views
Wadau Laptop yangu HP G 5000, RAM 1GB, HDD 250. Ilikuja na VISTA, nikaweka XP kisha WIN7 Toka juzi kila nikiwasha inakwenda hadi kwenye logo ya Win7 kisha kwa sekunde inatokea blue screen na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wale watalamu wa mbambo ya websites mnaweza kunipa maujanja ni ipi software nzuri kwa kucreat website kwa sababu kuna nyingi mno kama joomla, html, web studio, wix, dreamweaver, frontpage ...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Hawa Tigo wanashangaza sana,tangu wiki iliyopita wafanye marekebisho ya mtandao wao kilichobaki kwa wengine ni uozo mtupu!Kwa yale maeneo kuanzia Ubungo kurudi Kimara,Tigo inashika 3G signals...
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Wadau, nini maana ya HTTP na HTTPS ambayo yanajiandika kwenye address bar pindi unapofungua website,maana kila nnapofungua account yangu ya facebook na gmail huwa inaandika HTTPS lkn nnapofungua...
0 Reactions
26 Replies
8K Views
Jamani hv Electrical engineering inalipa?
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Jamani naombeni msaada jinsi ya kuweza ku access internet kwenye blackberry kama wenye mobile phones za kawaida, e.g bundles za mb 50(Voda) au mb400(Airtel) for Tsh 2,000 and 2,500 respectively...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
natafuta video cd ya kujifunza ms excel?mwenye nayo msaada tafadhali au kama unamfahamu mtu mwenye nayo.nataka ya advanced learning siyo beginners.
0 Reactions
1 Replies
858 Views
Habarin za leo wana jamv! Naomben msaada juu ya hii sm yangu ya NokiaN72, inapokea message mfululizo zinazosomeka "salio lako halitoshi", ukiziacha zinafika hadi 1000, na ukiweka vocha inaisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mwenye setting zozote jinsi gani naweza tazama youtube video kwa ku2mia Simu yangu NOKIA C1? Nawasilisha jamvini jamani...
0 Reactions
2 Replies
857 Views
ninachotambua tanzania ni nchi yenye madini aina nyingi,hasa dhahabu.inawezekana yanasamani sana ndio maana yana bei kubwa. Swali hivi tofauti na kutengenezea vito kuna nini kingine...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwanini niki connect internet na line ya zantel ina kataa,wanamatatizo gn hawa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimejipini kwenye simu za windows HTC 7. Tatizo ninalopata ni kuwa , nikitaka kutumia Mpesa option zinakuja ila zinaishia ok. Ukiclick ok MPESA option inaondoka. I mean haiendi hatua ya mbele...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nategemea kujifunza linux hivi karibuni,kufanya installation na kujifunza command line...mwenye uzoefu naomba anielekeze yafuatayo: Ni distribution gani na version gani rahisi kuanza nayo hasa...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Daily nashinda net kwa ajili ya kusoma forums mbalimbali zitakazoniwezesha kuccm (chaka chua modem) yangu huawei 153u-2 lakini cpati kabisa.Vp wadau kuna aliyefanikiwa?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom