Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Siioni kabisa local disk d nimejalibu kila njia imeshindikana na kwenye manage inaonekana ila in active ina option ya delete tu, msaada wataalamu:A S embarassed:
0 Reactions
1 Replies
889 Views
Naombeni msaada kwa hilo..nawategemeeni wakuu
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Wadau hivi ninyi huko speed ya vodacom 3g ikoje? maana mimi kwa siku kama nne hivi speed ni slow vibaya most of the time napata 10KB/s or less.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu kwa wale gamers kama mimi, what do you think is the best video graphic card between the two? i tried Nvidia its quite awesome bt never had a chance to try AMD radeon. Whoever hs tried it can...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
iPHONE 3GS, black, 16GB, 350000/= call 0713619476 negotiations open.
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Natumia avast mara kwa mara inaniletea msg ya kuuptudate ila nikiicklick ili ianze haifanyi chochote inasema wait while initializing na hamna kinachoendelea msaada plz na nahisi hii laptop...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari natumia laptop aina ya Toshiba; tatizo lake ni kwamba magemu hayakubali kuplay wala DVD maker nayo inazingua kufunguka hii inakuja baada ya kuinstall windows 7 kwenye mashine yangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana - JF, Kwa wale wana-IT napenda kufahamu mahali na gharama za mitihani ya (Oracle Certified Associate)OCA na (Oracle Certified Proffesional)OCP Tanzania Pia ni mahali gani naweza...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Naomba kujulishwa ni satellite receiver aina gani ina faa hapa Tanzania inayoweza kupata tv channels nyingi?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau naombeni msaada ,Computer* yangu nikitaka ku-remove program inakataa, nini tatizo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani kwa anayefahamu jinsi ya kuunganisha any torrent software na ile internet yetu ya voda yakuchakachua.naomba atusaidie
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Wakuu hebu tujuzane, hivi ile huduma ya Airtel free internet kuanzia saa tano wameitoa? Mbona mida ikifika nikijaribu kuunganisha net inakula ela? Yaani wamerudisha ile huduma ya 2500/= halafu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
cable modem iwe na coax port
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Wadau naombeni msaada ,laptop yangu nilikuwa naitumia ghafla ikazima,nini tatizo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu naomben msaada wenu. Kuna LUKU 2 zinaandika low supply na zikiandika hivyo zinakata umeme kabisa na mda mwingine unaweza ukawasha na zikakubali na huku zimeandika low supply.. Je hapo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
I was been in search of this game bt they ask me keys any help plz!
0 Reactions
0 Replies
755 Views
wakuu mi napenda kujuzwa kuhusu teknolojia inayotumika kufanya watu kwenye muvi kuonekana kama twins wakati ni mtu mmoja au mtu kuigiza nafasi zaidi ya moja eg. Coming 2 America, Double...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Airtel wamerudisha uduma yao Mb400 kwa 2500 tuma Internet kwenda 15444 ]Umefanikiwa kujiunga na kifurushi cha INTANETI kinachokupa MB400 kwa muda wa siku 30.Kuangalia Salio lako tuma neno...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ninahisi kuna mfanyakazi Voda ambaye amekuwa akifuatilia namba zangu nilizozisajili katika mtandao husika. Amekuwa anajua taarifa zangu hata nilizotuma kwa msg miaka tisa iliyopita. Japo msg si...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom