It might still take a little time before cheap (really cheap) smartphones comes to Tanzania but an alliance headed by Qualcomhas launched a new OS system that will compete with Android and Apple...
Wakuu tafadhalini naombeni msaada rolling ball ya blackberry niliyoitaja hapo juu rolling ball yake haiendi chini inaenda kulia na kushoto kwa hiyo nashindwa kuelewa nifanyeje,nimefumbwa macho...
kwa wale abmao WhatsApp zenu zimezingua iwe blackberry,android,S60 tembelea hapa Tz downloads nime download ya nokiaS60 imekubali kufanya kazi bila kuletewa ile message ya This version is old
Naomba mfanyakazi wowote wa kitengo cha ICT cha simu msaada plz
1.Cost za kuweza kuwatuma msg zipoje yaani mfano company inataka kuwa inawatumia msg wateja wake cost zao zipoje?
Habari wandugu na wataalam wa IT. Shida yangu natafuta msaada wa kurecover files kwenye Harddisk yangu yenye ukubwa wa 1TB.
Mafile muhimu zaidi ni ya Video yenye ukubwa wa 10gb - 32gb. Mwenye...
wanajamvi katika masuala ya os za comp unaweza weka virtual mashine kwenye comp yenye os ya mac ili utumie software za window,
Sasa swali langu je hakuna virtual mashine za simu ili niweke...
nimejaribu kutumia moderm tofauti za airtel, tigo, voda, na zantel but tatizo lipo palepale. napachomeka moderm ina detect device na network na ukiconnect ina inaonesha ipo connected lakini...
Yap wa kuu juwaa la teknolojia ni aje bajameni.......
Nilikuwa ninacheki google map ya tanzania lakini nikashangaa. Mnaweza kuisahihsia au unilekeza kama una kitu naoneana kutojua...
Wakuu tatizo langu kuu nina 1TB-HDD ambayo ipo formated so nimetumia software ya easy recover nimefanikiwa kubuckup files zote za picha(photo) na Docs nyengine. Kitu muhimu ninacho kitafuta ni...
Nokia wametangaza simu inayoweza kuwapa identity na kurudi juu wenye market share ya mobile. Ifahamile hivi sasa kila kitu ni mobile. Mfano Kama una tovuti haiwezi kusomeka kwenye vifaa vya...
Miaka ya sas akuna nyezo nyingi tena kwa bei rahisi na nyingine bure amabzo zinawawezesha vijana wa kesho wawe wakali wazaidi kwenye mambo ya ICT kuliko wababaishaji kina mtazamaji lol . How...
I recently changed the OS of My Acer Aspire One D255E Notebook from Win7 Starter to Win 7 Ultimate 32 bit.
Ever since I can't connect my pc to the internet via cable and the from the driver...
wataalam naombeni msaada kwa hili.toka juzi nikifungua gmail ili nianze kuandika email yangu,nikianza herufi ya kwanza tu,email yangu yote inatokea,pamoja na password yake!sasa hii naona ni hatari...
Nimeweka window7 kwenye machine yangu Dell optlex 760, lakini grahic quality yake imekuwa mbaya, je kuna drivers ninazotakiwa kuinstall? Na kama ni hivyo nazipataje? Naomba msaada wenu.
Wakuu msaada wa ku instal opera mini kwenye simu za Samsung chat Model GT- E2222 taratibu ziko je??
manake nimejaribu ila inanishinda, msaada wenu naombeni
niaje guys? katika pita pita yangu nimekutana na dashboard mpya ya ZTE vodafone inayo support Calling and MMS unlike Join air ipo link hii metfone 3g mf100.zip - 4shared.com - online file sharing...
nafikiri kila mtu anajua kua kupitia watsap tunaweza tuma mafile ya picha, sauti na video na yanakaa katika path hizi.
Picha e:/images/watsapp
Sauti e:/sound clip/watsapp
Video e:/video...
wadau, kuna mjanja ameiba simu yangu.. Is there any posibility yakuweza kujua who has it. Cos my phone IMEI is registered. Je? Kuna uwezekano wowote wakuweza ku trace nani anatumia hyo simu at the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.