Hi you all!!!
Ninaombeni msaada wenu kwa uzoefu wenu ni ipi software nzuri ya kutengenezea flash slide show galleries ambayo mwishowe inaweza kutengeneza html za hiyo gallery au namna nyingine...
Wakuu naomba mnisaidie nini cha kufanya baadhi ya key kwenye laptop yangu HP PAVILLION DV 6000 zinasumbua sana, zinaweza fanya kaz lakin kuna saa nikiizima nikiwasha hazifanyi kazi
Kwanza naombeni samahani kwa kuchanganya lugha mbili. Nafikiria kuanzisha biashara ya ISP(Internet Service Provider), Tanzania, ninajua kuna mahitaji kama kuwa na business plan, kuwa na corporate...
Hallo wataalam wangu wa kompyuta na mambo ya IT. Nina modem ya Vodacom ninayoitumia kubarizi internet.Ni hii modem ndogondogo size ya flash disk.Nikishafanya connection inafanya kazi kama nusu saa...
Nisaidieni kunipa maarifa/elimu ya jinsi ya kutumia keygen, crack kufungua au kuzibua software kwenye pc. Nimedownload keygen, ikaja katika winrar. nimei unzip imenipa mafaili matatu. hapo...
hey wana jf
Najua kuna watu wanapata shida hasa wanaotumia internet kwa proxy maana hawawezi kudownload torrent. So leo nitawapa njia ya kudownload torrent directly bila kutumia client yoyote...
JAMANI WADAU ME NINA IPOD YANGU KILA NIKIJARIBU KUICHARGE HAIINGIZI CHARGE THEN KUNA UJUMBE UNAKUJA UNAOSEMA "one of the USB devices attached to this computer has malfunctioned, and window does...
Ndugu zangu kwa muda hivi nimekuwa nikifungua ukurasa wangu wa facebook unafunguka lakini wakati huohuo unafunikwa na picha za ngono. leo nimefungua ukurasa wangu, ulipofunguka nikwa redirected...
Waungwana kuna jamaa nilipokea email yake kajitambulisha kama frenk adam kutoka burkinafaso anadai yy ni bank meneger na shida yake ilikuwa kutrassfer pesa kwenda kwenye account za nje,nilichat...
salam wakuu, mimi ni mtumiaji mzuri tu wa vifurushi vya lightday kwenye simu yangu ambapo unapewa like 2days accessing. sasa wiki mbili zilizopita niliacha kununua iyo bundle lakini nashangaa...
Natumia simu ya NOKIA C1. Napotafuta jina kwenye contacts list, napata message "Operation failed". Hivyo hakuna namba ninayowezapiga toka kwenye contacts. Mtu akinipigia inatokeza namba tu...
WanaJF kuna hivi vitu vinanchanganya mimi nnapenda Computer engineering, ila kuna hii wanaita Computer science je ni nini tofauti zake? Na pia kuna kitu wanakiita Electrical and computer system...
tangu jana sipati huduma y ainternet........nimejaribu kuwatafuta tigo sijapata access na CC yao
napata message insufficient network coverage to process your request please try again...
Wadau tangu jana kila nikifanya double click katika audio song hamna action yoyote lkn kwa video inakubali kwa hiz nyimbo za audio zinataka had niright click nakuopen with a certain...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.