Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
guys modem hii nailipia sh. 30000 kwa mwezi so naona ni nyingi kidogo ukilinganisha na matumizi yangu wakati zain ukilipa tsh. 2500/= unapata 400MB. na vodacom ukilipia 3000/= unapata 50MB so...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naomba mnisaidie hatua za kuweza kufanikisha kuformat computer
0 Reactions
3 Replies
843 Views
WanaJFwenzangu mambo vp? Naombeni msaada wenu kwa wenye uzoefu wa hii OPERAMINI yenye O kubwa kwa mimi ninayebrowse kwa kutumia simu ya Nokia E61i. Ninapoingia humu JF kupitia mfumo wa Desktop...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomben msaada chaja yangu ya laptop iliharibika sasa katika mchakato wa kutafuta ela kununua ingine nilikaa kama wiki mbili ivi then nkanunua tatizo ni kuwa betri uktoa kwenye umeme laptop...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aksanten wanajamii forum, mpaka sasa kuna mambo mengi ambayo nimefaidika nayo kupitia forum hii ya science and technology. Wakuu mim nina moderm ya airtel huauwei, nimekua nikifuatilia moja ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tafadhali naomba mnijuze jinsi ya ku-upload video/picha ili iambatane na post/thread!! Natanguliza shukrani zangu wanaJF
0 Reactions
0 Replies
872 Views
salaam wakuu, mi ninatumia modem ya Airtel nimekua niki experience connection problem hususan ku log in acc ya yahoo, nimekua niki ingia thru messenger lakini leo inagomakabis ina fika tu mahali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Computer yangu inashindwa kuwaka mpaka mwisho na katika Safe mode inagoma.
0 Reactions
1 Replies
701 Views
For our budding 3D artists and advertisement professionals, please see what can be achieved using zero cost software.Red Color | BlenderNationCompany writes: Made with Blender 2.6, GIMP and...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
nataka kuunga internet kwa line ya tigo manual,yoyote mwenye uwezo anipe maelezo
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Wakuu naomba msaada wenu nataka ku-unlock huawei modem ya zin ili nitumie na line zote.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani naomba mnisaidie web zenye games za ukweli .natumia nokia
0 Reactions
3 Replies
910 Views
nina gari used toyota cresta.sehemu ya kupimia engine oil mara nyingine hukuta imechafuka kwa oil na maeneo yote kuzunguka hapo, pia naweza kuikuta dip stick imejivuta kwa juu,(kama...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari kwa wotewana jf mimi simu yangu ni yanokia kila ninapo nunua memorycard bt baadaya kudownload nyimbo kuna faili linavyo andika imgchae sasa nifanyeje au ndo virus?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wataalam wa software, vipi kuhusu kutengeneza JF app? Kuna mtu aliwasilisha mada hii, ilifikia wapi?
0 Reactions
2 Replies
916 Views
Wakuu naomba kama kuna mtu anayo driver softwere ya hii photocopy machine aina ya HP LASERJET 1320 au link ambayo naweza pata driver zake naomba anisaidie nimefomat computer nikataka kurudishia...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Computer yangu ni Dell intel p 4,RAM 640,PRO.2.40GHz WIND.XP2 nikipiga nyimbo in high volume computer inastuck kila kitu kinasimama, kasa haitembei mpaka niizime.NAOMBA MSAADA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Salaaam Wakuu wa Jf technology Mnaonaje tujaribu kufanya reseach binafsi ya kutafuta taarifa na matumizi ya number ya dharula kwenye makampuni ya simu za mkononi na vyombo husika(Serikali)...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nna nokia 1600 naitumia kwa sasa ila nashangaa keypad (button) hazina mwanga Kwa mliowah itumia je ndivyo ilivyoudwa au?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nawakaribisha kwa Mjadala wenye lengo la kueleimishana Mambo mbalimbali yahusuyo Technolojia ya Mawasiliano. Leo nimeona nirushe Swali ambao wengi huwa wanalijibu kimakosa na walimu wao...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom