Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nataka kununua computer ndogo yaani netbook ipi ni bora na pia naomba specifications. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kila nikfungua nakutana na huu ujumbe Imagine a World Without Free Knowledge For over a decade, we have spent millions of hours building the largest encyclopedia in human history. Right now...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Here's the complete list of All Windows 7 Shortcuts That You Really Need:GeneralShortcuts 41 Shortcuts of Windows 7 For General s WindowsExplorer 15 Shortcuts of Windows 7 For Windows...
6 Reactions
2 Replies
974 Views
Ivi unajua sim card yako inajina kwenye mtandao wa facebook...ukitaka kuakikisha fuata steps hizi 1st step:katika namba yako ya simu mfano 0773 213488 chukua tarakimu 3 za mwisho,mfano katika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Touchscreen system kuna wakati inagoma,au unapobonyeza au kuhitaji icon ya chini,inakubali ya juu. Au kuandika meseji,unapobonyeza herufi m,n,o, inakataa inakubali d,e,f..
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu naombeni msaada jinsi yakupata puk kwenye laini ya tigo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
laptop skins and decals are in trend now, I have seen many people with their skinned laptop, netbook and notebooks. Is there any benefits of using these laptop skins?
0 Reactions
4 Replies
893 Views
guys do not pm me about this.. Hii post ni out dated this does not work anymore.. Thanks!!!!
0 Reactions
29 Replies
4K Views
wakuu na ombeni msaada jinsi ya kupata puk kwenye laini ya tigo.
0 Reactions
0 Replies
690 Views
Help me out this two things confuse me I don't get it when they say digital storage facilities what are they?
1 Reactions
4 Replies
917 Views
Jmn naombeni msaada, je nitawezaje kuzitambua Flash na Memory card ambazo ni ORIGINAL au FEKI. Natanguliza SHUKURANI
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakubwa naombeni msaada natumia n73 kila nikidowload application haita kuistall inaniandikia unable to install naombeni msaada wenu kwa wale wataalam wa mambo haya.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
...Bandugu, Nina laptop (Asus X51Rseries), keyboard yake in-hang nikikaa kama dakika tano bila ku-type kitu. Hadi ni switch off na ku switch on (hata RESTART function haifanyi kazi). Letter tabs...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
salaam wanajamvi, Simu yangu aina ya nokia 5530 kila nikiweka video au nikitaka angalia u tube inakataa, Wanasayansi wa jf mnanisaidiaje?
0 Reactions
3 Replies
806 Views
Napata timeout error mara kwa mara nikibrowse jamiiforum pindi nikitumia opera mini. Problem ni browser ua server overload?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The Apps4Africa Challenge began in late 2009 when several individuals, organizations, and private companies joined together to propose a competition that would reward local innovators for their...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Wakuu kama unasimu za verizon ambazo kuulizia salio ni kasheshe kuingiza voucher nimbinde maana ukiulizia salio yenyewe inapiga moja kwamoja na unaambiwa na system piga namba kwa uangalifu au...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
jamani anaejua wapi naweza pata bluetooth peripheral device drivers za nokia
0 Reactions
1 Replies
897 Views
Wadau nimenunua tupa nilikuwa nanoa fyekeo(kwanja) na panga ila naomba maelezo ili kupata makali yenye ukali inatakiwa kunoa pande mbili au moja za hvi vifaa (panga na fyekeo)?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
hi wana jamii, naomba kwa mwenye working keys za eset smart security 5.0.95.0-thanks in advance
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom