Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Natumia hp 15s-fq2xxx i5 11 gen, nemeinstall pes 2018 inaniletea iyo code apo juu, nikainstall pes 2017 inaleta tena iyo code. Nimejaribu kutumia tutorial za youtube karibia 9 za kurekebisha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ukidhani tu teknolojia fulani imefikia ukomo anakuja mwingine anaboresha kidogo tu na anakua mkubwa. Lakini kuna tatizo moja naliona kwetu sisi watanzania tuna tabia ya kusema kwamba APP fulani...
1 Reactions
7 Replies
625 Views
Mwenye kufahamu jinsi ya kuzuia simu isile sana bando naingia na kuperuzi jamii lakini bando linaenda na hasa hii app jamiiforum inakula sana bando hadi naogopa kuweka bando
1 Reactions
2 Replies
696 Views
Wasalam Waungwana. Tanzania kuna vichwa haswaaa kuna wajuzi wa mambo kada wa kada, lakini kinacho fanya tusiruke zaidi ni kila mtu kujificha kando na ujuzi wake,kile anacho kijua. Hatupeana...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Kwa yeyote anaejua jinsi ya ku remove "write protection" kweny flash drive au kui format flash drive ambyo ipo write protected naomba anisaidie maana cwez kui format wala ku insert file llte...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wakuu. Samahaani naomba kuuliza Range ya Bei ya printer mpya Changamoto yake Ufanisi wake wa kazi Kwa wale wanao/waliowahi kuitumia Nimevutiwa nayo, kabla ya kuchukua mamuzi ya kuinunua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Habarini za usiku Huu. Baada ya kutafakari kwa kina juu ya muustabali wa maisha yangu nimeona ni heri niwe fundi wa vimeo uko mtaani. Japo sina uzoefu au ujuzi wa hivi vifaa hila naamini...
0 Reactions
28 Replies
12K Views
Hello wapendwa wa jf samahanini nna tatizo kidogo nna flash yang ndogo tu 16gb n toshiba nmechukua miezi michache iliyo pita nkawa nahifadhia vitu vyangu muhimu ( music videos, movie chache na...
2 Reactions
8 Replies
832 Views
Habari wataalamu Naomba ushauri, nina plan ya kununua TV mpya ambayo SIO oled au qled...Iwe Smart na iwe na 4K UHDTV capable. Nimekutana na hizo options mbili za Samsung ya inch 55 4k uhdtv na...
6 Reactions
84 Replies
9K Views
Nina startup natafuta watu wanaojua ku-calculate molecular mechanics kwa kutumia LAMMPS, thermodynamics na Quantum mechanics lengo ni ku-analyze protein ili kujua quantitative functions at...
1 Reactions
2 Replies
600 Views
Habari za Muda huu Kwa wataalamu naombeni msaada Redio ya gari Ina frequency 76-90. Nitaweka kubadili frequency zisome 88-107 au njia mbadala nipate frequency za kibongo.
0 Reactions
4 Replies
488 Views
Samahani wajameni naombeni ushauri kidogo. Nina Tzs 600k nahitaji kununua simu ila katika kupita pita nimeona matangazo ya Oppo A9 2020 yamenivutia kidogo. Ushauri wenu kwangu hii simu au...
2 Reactions
96 Replies
26K Views
Wana tech Salam.. Nimekuwa nikipokea maoni mbalimbali juu ya mambo haya ya IT kuwa vijana wanaotoka udom wapo vizuri Sana kwenye nyanja hii. Juzi nilikuwa na rafiki angu mmoja kutoka crdb makao...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni aina ya hisense inakula unit 113 kwa mwaka. Waranty mwaka mmoja. Bei 400,000. Ni yale madogo tu nahitaji kwajili ya matumizi ya geto. Sasa nimeona kabla ya kulinunua nije nichukue kwanza...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Natafuta hyo DISPLAY CABLE ya Lenovo Msaada pakuipata Nipo moshi nimezunguka bila mafanikio ... Hii laptop inawaka ila haisomi HARD DISK.. naombeni ushauri wana JF
1 Reactions
4 Replies
441 Views
Habari wakuu, straight to the topic, Mimi ninatumia king'amuzi kimoja cha Azam sasa soon nataka ku-uprade TV ya sitting room niweke kubwa zaidi halafu iliyopo niiweke chumbani kwangu. Sitaki...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Miaka 12 iliyopita nikiwa nakaribia maliza chuo nlinunua vifaa kadhaa vya kuniwezesha kufanya final graduate project, pia kuanzisha electronics lab nyumbani. Mipango ilikuwa mingi na ndoto...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Tunasubiri IT wa kibongo watungengenezee za Simba na Yanga kwenye PS5 au X box Kazi kwenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom