Wadau kuna hii kitu inaitwa Sema na Airtel inakuwezesha kutuma sms free kwa mteja wa Airtel aliyejiunga kwenye hiyo service (yes ni 0Tsh/SMS)
Kujiunga
Kujiunga unatuma sms neno Jiunge unaacha...
Wakuu habari zenu? Mimi ni mmoja wa waathirika wa hizi mvua, na imetokea P2 imelowa upande mmoja. Kuna wanaonambia eti imeshakufa. Jamani hli lina ukweli?
Lenovo X300 vs. Apple MacBook Air... Fight!
By Thomas Ricker
As long as Lenovo is drawing a direct comparison between their own X300 and the MacBook Air, we thought we'd go ahead and put...
Je.umeichoka google Tanzania? Je, unataka google international?
Ndugu mwanajamii, kama majibu ni ndiyo kwa hayo maswali hapo juu basi fuatana name katika hatua chache zifuatazo;
Hatua 1: kuandaa...
Wakuu nimeikopi toka kule Twitter kuna watu walikuwa wanaijadili
Hii hapa!!
Burekingi Nyuzi: Kama unapenda kupiga simu za bure tumia viber, unahitaji 3G enable handset or wifi kwa simu...
wadau naombeni mnisaidie jina au link ambayo naweza pata software ambayo itaniwezesha tumia modem yangu yoyote iwe ya airtel, tigo au voda bila kufaya unlock.nlikuwa nayo ila nimeisahau jina na...
Natamani kuangalia Movies Through Netflix Ila Napata Kikwazo cha Ku install SILVERLIGHT Kila mara naambiwa Installation Failed nikibonyeza info nakutana na hii Message " Message ID: 1622The...
:alien:wakuu wa hili jukwaa ,heshima yenu!
nimekadownload haka kasoftware ile kanamaliza kakaliwa na antivirus,natumia ms security esseciantials. so hii inamaanisha kana matatizo au nini? msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.