Wakuu,
Ni kwa kipindi cha kama miezi zaidi ya minne sasa tangu nimenunua hii simu yangu ya mkononi na tangia hapo nimekuwa ninasurf mtandao wa JF kama kawaida na speed nzuri kabisa. Cha ajabu...
Ni wiki tatu sasa zimepita,nimeshindwa ku unlock facebook a/c yangu ambayo ilifungwa mara baada tu ya mimi kudownload opera mini mpya na kuireplace na ya zamani niliyokuwanayo. Nilipojaribu...
Wanajf,
nimeibiwa laptop yangu juzi usiku. Taarifa iko police ila wanashughulikia taratibu wakati kila kitu kiko wazi mpaka namba ya simu ya mwizi ambapo anataka nimtumie laki 5 ktk tigo pesa...
Wakuu ninataka kutengeneza bootable usb flash na sina tatizo na proccess yake, isipokuwa mkononi ninayo windows7 installation disck tatizo ni jinsi gani nita copy mafaili ya windows7 kutoka kwenye...
Wana jf habari zenu,nina moderm ya sasatel ni zile ambazo hauweki line(in built line),sasa nahitaji kuiunlock ili nitumie line zote,wanaziita cdmi(kuna mtaalam kaniambia jina hilo) nifanyaje wakuu.
Nina laptop aina ya hp compaq mini 110c-1120ei sim card inbuilt modem na nimagundua ina sehemu ya kuweka sim card but bado sijaelewa how to use it or what kind of programs/driver should I have in...
nikiwa kama software developer huwa sifurahii kuiba kazi ya mtu. Watanzania huu ni ugonjwa sugu japo upo dunia yote. Hivi mtu ameajiri watu wakatengeneza kazi wanauza halafu we unachukua pirated...
UKIELEWA HII KITU USISITE KUTUSAIDIA NA SISI!!!
jamani wanajamii kuna post ambayo nadhani wote ambao bado hamjaisoma mtaipenda tatizo ni kwamba nimeshindwa kuielewa vizuri ndio maana nimeamua...
Upo na Computer yako(laptop au desktop).Unaandika mchango wako au mada flani ktk mtandao wa JF.Unaipitia mara mbili mbili au tatu ili kusahihisha makosa ya kiuandishi.Unasahihisha na kujiridhisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.