Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kwa yeyote mwenye ufahamu jinsi ya ku-install file za richard burns rally 2011 naomba anihabarishe,niliagiziwa kwamba una install file zote 6 in ascending order lakini bado inagoma,naomba msaada...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kuna fundi nimempelekea laptop yangu window ilikuwa inataka niuptudate nikachelewa ikawa black kwahyo alikuwa anaweka window nyingine amefanya kazi hyo kwa kama siku mbili japokuwa iko chini...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
wana jf nina laptop aina ya dell latitude 620 nikiangalia naona kitu kama web nimejaribu ku - connect haijafanya kazi .nimenunua external webcam lkn inaonyesha picha giza na ninatumia win 7 naomba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau.Tatizo langu ni kuwa napenda ku2ma na kupokea email kupitia cm yangu nokia 3120.Na pia inipe alarm kama kuna new mail received
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nakumbuka zamani ulikuwa unaandika aina ya simu na model number kwenda number 500 but nimejaribu hiyo ila inakataa...simu yangu ni original sio mchina...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
wanajamii wenzangu naombeni msaada wa jinsi ya kukonect hp printer deskjet D4363 kwenye window xp kila nikiconect through usb port inasema device not recognised.kama kuna mtu anayejua naomba...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Siku nzima ya leonimeshindwakusign in kwenye yahoo kwani mara zote nilizojaribu inagoma na kusema eti nimekosea ama ID yangu au passowrdwakati jana usiku tu nilikuwa nasign in kama kawaida na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu nilishawahi ona thread yenye software na keys zake. Kama kuna mtu anaikumbuka naomba anipe link yake ...nilikuwa natafuta antivirus software haraka iwezekanavyo!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wale wadau wa mambo yetu ya kukodolea macho monitor za computer(graphic designers,videographers,animators etc)nina adobe cs5 master collection kwa anaehitaji anicheki hapahapa jamvini.hakikisaha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba msaada kama kuna mtu anajua namna ya ku unlock Adroid za tigo. Asante.
0 Reactions
0 Replies
787 Views
wana jf nina computer yangu aina ya dell latitude d620, je aina hii ya computer ina webcam kama inayo naomba msaada wa drivers zake maana haifanyi kazi .nimejaribu external webcam bila mafankio...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kwa anaejua serial key za hii software naomba anisaidie kwa pm au kuiweka hadharani hapa jukwaani.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
With the development of smartphones, the devices began to incorporate more and more functions. The big problem is that more features mean more chips and more processing cycles, which means...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Hey wakuu habari za asubuhi, kama kuna mtu yoyote anaweza kunijuza namna ya kufuta history ambazo ulikuwa unabrowise kwenye computer. coz kuna tendesi hapa ya kuchunguliana hapa kazinin so nlitaka...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nataka kuinstall hii printer (EPSON LQ-300+) kwenye computer yangu lakini bahati mbaya mtu niliyemuagiza amesahau CD zake na kila nikitaka kuistall inaniambia niweke hizo CD, kwa anayejua jinsi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Close encounter of an asteroid kind Asteroid 2005 YU55. (AP/NASA/Cornell/Arecibo) The bad news first: An asteroid the size of an aircraft carrier will be hurtling toward Earth and is...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Ndugu wanajamii naomba mwenye serial keys za OZEK-NG software anisaidie.... Natanguliza shukurani... Ni software kwa ajili ya sms gateway
0 Reactions
1 Replies
970 Views
have you ever wondered what to use MySQLi or PDO? Check short article on that: http://hosannatech.blogspot.com/2011/11/working-with-pdo.html
0 Reactions
0 Replies
969 Views
wapendwa naombeni msaada,nimescan flash ikaniambia 16files zina virus nikabonyeza remove unheal infection,kumbe jamani nimefuta files zangu na research ilikuwemo nimedata naomba msaada kama naweza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
facebook is still alive. anonymous failedwhat happen? thought anonymous will hack facebook today? what do you think happen?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom