Wadau ninashida na Program ya netbeans IDE nimeinstall ila nashindwa ku-compile nikitaka ku compile inaniambia "preparing to build on local host" na kisha nakuja dialog box nyingine inayosema...
Resonate Consulting Group Limited (RCG) has organized a 3-day Intensive CISA Exam Boot Camp geared toward developing knowledge and practical skills to enable CISA candidates to pass CISA exam to...
naombeni mnisaidie,huyu mwanamke nahisi ananzunguka kwasababu simu yake iko busy sana mda mwingi na nikimpigia simu hapokei ni siku ya 3 leo sina mawasiliano naye.nataka kuhack simu yake ili nijue...
Wadau natumia laptop hp compaq presario q 40 nilikuwa natumia window(vista busnes) ikakorupt kwa sasa fundi kaniwekea WINDOW 7 HOME BASIC Inagoma kutumia baadh ya program kama vlc na pia kwenye...
wakuu ningependa kuijua hii software vizuri naskia hata hizi tv commercials nyingi wanaitumia hasa zile zenye uchawi flani ivi wa graphics. naomba msaada wa video tuts kwa anayefaham wakuu
Jamani wataalamu naombeni msaada wa hali na mali.Nahitaji mtu wa kunifundisha kuchora ramani za umeme wa majumbani.Kanuni zake ni zipi?Msaada jamani.Nipo safi katika vitendo ila nadharia...
Ndugu zangu.
Naomba kufahamishwa matumizi na umuhimu wa huduma ya 3G. Nimesikia watu wa mijini wakiisifu huduma hii kutoka kwenye kampuni ya airtel.
Naombeni mnijuze umuhimu wake.
Am 25 years old,I hold a an International Diploma in Computer Engineering supplied by New Horizons Training Center at Techno Brain Dar es Salaam,
Please for any chance dont hesitate to call me...
Wadau, Nitangulize shukran kwenu kwa maana naamini humu jamvini siwezi kukosa msaada,
nina hili tatizo la PC kudisplays icons zote with image of one of icons mfano unafungua vlc lakini icon yake...
WanaJF mambo vp? Naombeni msaada wenu kwa wenye ujuzi wa simu simu ninayoitumia ni Nokia N95 8GB ya kichina japo ni laini moja na ninapotumia mfumo wa nokia orginal kuangalia model no, na IME...
Naomba kufahamu kama kuna njia yeyote ya kufungua hizi simu mnisaidie wazee wa technology...
Apart from that nafanyaje sim inapopata tatizo la kutokurespond on some of the keys especially zilizo...
Fani yeyeote ya uhandisi inahitaji matumizi ya nyenzo. Tunaweza kuzua mjadala kama je kutengeza tovuti nayo ni taaluma ya kihandisi.????? I think so sijui wewe…. Tuache huo mjadala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.