Wjameni msaada wenu nauomba,ninatumia sumsung model nloitaja hapo juu ilikuwa na windows xp na nieinstall window 7 ultimate transformer ila nashangaa ghafla nimeiwasha inatoa black screen with no...
Frighteningly close encounter with asteroid
The rock is the size of an aircraft carrier, but experts say it'll miss the Earth and moon. Unique viewing opportunity
Wadau, msaada tutani
Nina mkoko wangu umekuja na radio but with limited frequencies. Yaani kwa hapa kwetu naweza kupata radio zilizopo kwenye frequencies kuanzia 76 hadi 90 tu
Nakosa raha kwani...
Wakubwa hamjambo?naomba msaada kidogo,email yangu sijui ina matatizo gani?nikituma email haziendi alafu yanaingia ma meseji mengi kwenye folder la spam sasa sijui nifanyeje ili meseji ziweze kwenda?
friends,
I have one thing that bothers me and I thought it would be nice to share here. Before I share let me put myself here: I love science and observational science have done great things...
Huku kwetu access ya vitabu ni tabu kidogo, naomba mwenye soft copy ya vitabu hivi anisaidie
1.Building Model-Driven Decision Support Systems With Dicodess
by:Alexandre Gachet
2.Decision Support...
Habari zenu wakuu nikama muda sana ambapo watu kila siku wana uliza au bado hawafanikiwi kufaidika na kuweka line tofauti katia K3565-Z and
K3570-Z zte modems hizi zinazouzwa za vodacom ili...
Wakuu naombeni msaada wa brand nzuri ya kununua laptop, maana hizi brand karibu 90% zinatengenezewa china, nimejaribu compaq (presario) kimeo, accer nayo imeharibika mapema, kuna watu wananishauri...
Which is The Best Laptop?
Here Is the some Best current laptops in Market. So guys tell your reviews which is the Best?
1) HP Pavilion dv5t
Screen Size: 15.4 inches
Weight: 5.5 lbs...
Habari wakuu wangu katika jamvi hili. Poleni kwa usumbufu ninaowapeni mara kwa mara, tatizo langu kubwa ni ugeni katika teknolojia hii ya kompyuta. Shida yangu ni kujifunza toka kwenu; kama kuna...
Naomba wajuzi wa teknolojia na mambo ya simu mnijuze, smart phone ni zipi, na kwanini zaitwa smart phone?
Je kuna smart phone feki? Je kila qwerty keyboard phone ni smart phone?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.