Wadau kwa wale wasio na DSTV na hawataki kwenda kubanana vibandani mechi ya chelsea Vs Arsenal itakuwa streamed online.Najua wengine mnajua ila kwa wasiojua ni kwamba unaweza kuangalia mechi hii...
NDUGU zangu nimandika post ndefu juu ya kuflash modem za airtel na tigo bure coz sifanyi biashara.
kwa wale mnaowasiliana na mimi kuwa mnaitaka software ya kuflash modem,basi jitahidini...
I have discovered that the window games was not installed in my computer during OS installation, the installed OS is legal one. Is it possible to install games for free now probably from windows...
Salamu wakuu. Ninacreate a wap community and nipo kwenye final touches lakini napata hii Error!!! message:
Error! Cannot Connect To Database...
This error happens usually when backing up the...
This is a list of some of the most bizarre programming languages you will ever see. These types of languages are usually called "Esoteric Programming Languages". An esoteric programming...
Do you have some cool gadgets for home use ? How about construction equipment and technology ?
Share it below on the FB page described below :
New Facebook page about Projects, Construction and...
WanaJF wenzangu mambo vipi? naombeni msaada wenu kwa wanaofahamu.Natumia simu ya Nokia E61i nitawezaje kuweka picha za matukio mbalimbali ya kufurahisha kuelimisha na kuhuzunisha hapa JF na hii ni...
Salaam wana Jf
simu yangu ni nokia 2730-classic. bluetooth haifanyikaz bila kuweka line ya voda .
Mimi ni mtumiaji mzuri wa tigo! naomba mnisaidie namna ya kusolve hili tatizo.
wadau mim ni mpemz mkubwa wa laptop za dell na sony. Na katka ku2mia hzi laptop nimetokea kupenda ubora wa sony vaio. Je vp myie wadau eti kat ya hz brand 2 ipi kali
Habari zenu wadau, naomba msaada wa kuelekezwa jinsi gani ya ku-save files mbalimbali ( mfano pdf files) kwenye email yangu ya yahoo.
Naweza kutengeneza folder, tatizo linakuja jinsi gani nitaweza...
Wadau mimi kuna kitu kinanisumbua. Hivi kama 'earthquake' ikitokea kwenye sayari ya mars, wataiita 'marsquake'? Halafu vilevile, what happens when an 'irresistible force' hits an 'immovable...
Jamani kila ifikapo saa mbili usiku, Satellitite signaling ya ITV zinamekuwa na Scratching sana, hiyo inaendelea hivyo hadi asubuhi then zinarudi kawaida. mimi natumia Dish la tf6, jamaa yangu ana...
Naombeni msaada kwa anayejua hii kitu,yaani aliyefanikiwa kupata hii service(kuona hizi channel tano kwenye simu, TBC1,EURONEWS,B4U,SEESAW & SUPERSPORT BLITZ).Mimi nimejaribu sana kwenye simu...
Nina uhakika teknohama imekuwa mno. Sasa hivi kuna watu ni mahodari ktk fani hii.
Mimi kuna mtu natafuta namba yake ya simu. Jina lake nalifahamu. Je inawezekana kuipata namba yake bila yeye kujua.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.