Wataalamu ninaomba kuuliza kuwa kati ya hizi kozi za computer ni ipi mzuri na inamata duniani na zaid Tanzania kwa mfuatano,,kozi zinyewe ni: Bsc in information technology,,,,B.E in information...
Habari members. Nilishawahi kupata ajali ya gari sababu ya tyre kupasuka kati ya chalinze na segera, Tukiwa na gari aina ya Landcruiser (shangingi) ilikuwa tufe, maana ilibidi tukutane uso kwa uso...
Install Google Earth kama hauna. Google Earth
Download file hii ya Google Earth ambayo ina earthquakes zote eneo la TZ kuanzia 1950 hadi mwezi wa kumi mwaka huu.
HDS111025225104_29293.kml...
Wanajf naomba msaada wenu jinsi ya kupata configuration za internet kwenye blackbelly manake nikijaribu kufungua wananiambia nicontact service provider. Natumia tigo
I have been asked by many Vodafone Users to post a Method to get a free GPRS for the Vodafone. Nobody wants to pay for what he/she uses. I am also a Nobody so I was also in trying out all the...
Wadau tukizingatia mabo haya inawezekana kabisa computer zetu zikawa na spidi nzuri tu.Haijalishi PC yako ina RAM ya 64MB au 2GB
1.Computer yako ikiwa inaboot usiisumbue iache iboot kabisa mpaka...
Wataalamu ninaomba kuuliza kuwa kati ya hizi kozi za computer ni ipi mzuri na inamata duniani na zaid Tanzania kwa mfuatano,,kozi zinyewe ni: Bsc in information technology,,,,B.E in information...
Learn foreign language with Memler. Free.
Do you study foreign language? If so then Memler is for you! Download the word library for your language or create your own Memler word list and master...
Wana JF naamini mu wazima na shughuli zinaenda vizuri,naomba mnisaidie niweze kujua bei za vitu vifuatavyo nataka nifanye ujasiriamali wa Studio ya Kisasa na professional ya picha
1.Kompyuta ya...
habari zenu wanajamvi kwa mara nyingine nimerudi na tatizo jingine...ni jinsi ya ku-unlock modem ya airtel E153u-2 serial codes zake ni 357289042300572 natanguliza shukrani zangu kwenu
Hallo wadau wa Siasa.
Naamin China na nchi za Scandanavia zina mifano hai amabayo inaweza kututoa tulipo n kwenda mbele kama wanasiasa wetu wakiwa tayari kuona mabo nje y siasa.
Inwezekana...
Nina receiver aina ya asiastar ambayo nilipata kutoka kwa rafiki yangu. Ni receiver yenye ubora mkubwa, hata kama channel fulani zinascratch kwenye receiver zingine ukiconnect asiastar...
Fungua document yako ya word halafu andika =rand(200,99) halafu press enter uone kitakachotokea. Kama unatumia ms word 2007 utapata page kama 567 zenye paragraph zilizojirudiajirudia. Kuna mwenye...
nisaidieni toka jana siwezi weka vocha ktk line yangu ya tigo kisa niliweka vocha feki,je niitupe hii line? Au ninunue nyingine.nikiwapigia customer care hawapokei namba yao ni 0713800800
Ninahitaji Accounting Drivers, kwa ajiri ya kunisaidia katika kuuza bidhaa, kuhifadhi kumbukumbu za bidhaa zilizoko stoo, na kuchanganua mtiririko wa mahesabu ya biashara kwa ujumla.
Napenda...
Wakuu kuna mdau alitoa njia ya kuchakachua vingamuzi vya startimes nimefanya kama alivyoelekeza na nimefanikiwa kama charm vile nimepata chanel 13 ikiwemo tb-joshua nimefurai sana.
ILa zinasumbua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.