Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Safaricom has had more transactions using M-Pesa than what its global rival, Western Union, has moved across the world. M-Pesa, which allows mobile phone subscribers to transmit as little as Sh50...
0 Reactions
0 Replies
884 Views
bei maelewano. Chek mi thru 0655 222342
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimenunua modem ya airtel ZTE MF180,lakini imegoma kuinstall driver zake,natumia win7.lakini nimeichomeka kwenye pc nyingine win7 imepiga mzigo fresh.mweye maujuzi naomba msaada.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wajamen na wataalam wa jf, eti kuna ukweli wowote juu ya kutumia administrator acc wakati wote? Manake kuna mshkaji kanishauri nisitumie admn acc wakatai nafanya shughuli zangu za kawaida kwenye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani mwenzenu kila nikiwasha compyuta yangu inaniletea kameseji ambako kananiudhi sana!! Kameseji kenyewe ni haka! Windows Script Host ... Can not find script file...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nisaidie Joomla Books, toka mwanzo -mwisho, yaani rfom beginers to advance level. Asanteni
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ndugu zangu kama kuna mtu anamjua fundi anayeweza kutengeneza PS3 hapa Dar aniambie tafadhali. PS3 ya kijana wangu imegoma kusoma CD. Natanguliza shukrani. Tiba
1 Reactions
23 Replies
8K Views
hallo,naomba niulize ivi ni brand gani ya washing machine ni nzuri na ninaweza nikaipata hapa tz kwa bei poa?na je ni nini nitahitaji kujua kabla ya kununua?ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
3K Views
How do I get rid of the Trojan horse virus Basically I am aware of 4 ways everyone can use to get rid of the trojan horse virus. Buy a new computer (you won't believe me but it works!). Call a...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Siku za nyuma nilikuwa natumia vizuri, lakini kuna siku niliondoka nilivyorudi nikaona ile program/software ya modem ime kuwa unistalled nilipojaribu kuweka modem ili ni install modem haionekani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SPEEDbit Video Accelerator * Eliminate buffering of and other web videos * Watch smooth HD videos with Premium acceleration * Video...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Ni software ipi ya kufungua modem za ZTE please jamani.
0 Reactions
0 Replies
793 Views
inakuaje wakuu? kwa wale gamers nataka niwapashe habari njema,in no time nitatia mkono wangu kwrnye kitu cha fifa 12. kwenye ijumaa this week nitakua nimeshaipata and guess wat? nitaisupply for...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Wadau naomba msaada khs internet ya mtandao upi itanifanyia fair coz kudownload ni sehem kubwa ya matumizi yangu ya internet na hata kama si hvyo bado matumiz yangu ni ya mfululizo NIMEJARIBU VODA...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani wataalam,naombeni kujuzwa hii Zuku TV network(kama sikosei). Naona wanatoa service kule Kenya,huku bongo vipi?? Maana naona kama Channel zao nyingi kidogo ingawa sijaona Channel yoyote ya...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
habari za mida hii wana jamii forum. jamani naomba msaada ya kupata software ya kuflash sonyericsson w900i na jinsi ya kuflash hio simu coz cable yake ninayo na internet ipo vizuri asanteni wana jf
0 Reactions
2 Replies
872 Views
Jamani mie nina simu tatu ninazotumia siku zote na kila moja ina line yake. Lakini nina ugonjwa wa kusahau na wakati mwingine naweza kusahau simu moja au mbili ofisini au nyumbani. sasa nataka...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomben kujua bundle zao za internet zikoje?bei yao ya chini na ni kwa mb ngapi?
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Jana nimeinstal TrustPort USB antivirus kwenye flash yangu aina ya SONY USB2.0 (4GB), no problem occured hadi leo nilipocopy file kadhaa za ukubwa wa kama 1.3GB. Sasa shida imekuja kwamba...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom