Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
ndio wakuu j2 njema. kwa leo naomba mkuu yeyote mwenye ujuzi waku crack hizi console games eg. ps2 ps3 or xbox kwenda kwenye pc mode. simaanishi kwa ku2mia emulators lyk pcsx2 or VGS but kwa other...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau google is my best friend so msishangee naleta maswali haya ambayo wengi wana majibu lakini kuna baadhi tuna mtazamo usio sahihi kuhusu neno Server. So usishanage mwisho wa thread hii...
2 Reactions
26 Replies
8K Views
Am finding a good contract phone either in BLACKBERRY or iPHONE. Plz help me, if it costs cheaper than buying a new phone ?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Je hii simu inatofauti gani na original? Nataka kuinunua lakini naogopa. Je simu za kichina zinakubali internet configuration ya mitandao yetu?
0 Reactions
60 Replies
6K Views
wakuu Nilikuwa nasafisha laptop yangu kwa kutumia foam cliner Baada ya Kumaliza kusafisha nikiwasha laptop yangu keyboard haifanyi kazi Tatizo Linaweza kuwa ni kitu gani?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada,natumia window 7, kwenye ki lap top changu,cha ajabu niki install safari apple browers inashindwa kufunguka inaleta sms hii'untitled', it fails to contract with...
0 Reactions
2 Replies
894 Views
Wakuu naomba msaada wenu, PC yangu ilikuwa imeshambuliwa na virus, nika scan na kupata virus wengi mno, baada ya kumaliza kuscan untvirus Avast ikanitaka ni restart mashine ili i-scan safe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu hii machine uki click ie ukifungua my computer halafu ukiclick kwenye cd/dvd rom inafunguka hata kama haina cd. Mabingwa wa teknolojia msaada!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari?Naomba msaada wa jinsi ya ku install Oracle 10g kwenye Windows 7.. Nilikuwa nimeinstall lakini kwa sasa nimeshindwa ku log in na kuna errors kibao.. Naomba msaada, hii ni kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Can You Leave Your Laptop On All the Time? Is your laptop on since last evening? Have you shut it down at all? Do you often leave your laptop on until the battery drains out? Do you often find...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika sayansi watajwa hapo juu wanahesabika kwamba wana mchango mkubwa. Tukianza na NEWTON anajulikana sana uvumbuzi wa laws of motions na pia wengi wanafahamu kuwa amegundua hesabu ikiwamo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndio wakuu, nafkiri wote tupo sawa na mambo yote 'sayona'. kwa wale wapenz wa novels za aina zote, vitabu vya arts,science,mapishi,3d moddeling,programming,fashion etc. unaweza pata vitabu vyako...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wa JF mambo vp natumi mu wazima naombeni msaada kwa anayefahamu au anayeweza au akanisaidia kunidownloadia huu wimbo naupenda saaana.Ni wimbo wa gospel kutoka nchini Zambia unaitwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Laptop yangu ina tatizo.... Ninapoweka kwenye umeme na kuiwasha inafanya kazi kwa muda fulani huku battery ikiwa inacharge kama kawaida lakini ghafla huwa inaacha kucharge kuwa inarun on battery...
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Wakuu ivi ni kampuni gani kwa hapa bongo wanadevelop software kwa j2ee, servlets, java beans . Mnao jua naamini mnanielewa.
0 Reactions
0 Replies
597 Views
POST AM LOOKING FOR: DATABASE ADMINISTRATOR Platforms: ORACLE/ SQL SERVER LEVEL: INTERMEDIATE Nina degree ya Computer Science na nina experience ya mwaka mmoja ktk hii fani. Pia ninauzoefu na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
sa jmoc wakuu? ebana mi nauliza tu kama inawezekana kuicrack app ya BBM ili iweze ku2mika kwenye simu zenye os nyngne kama android,symbian etc.
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Dishi langu aina ya MEDIACOM MFT-930plus limepoteza rangi lakini picha zinaonekana. Nimejaribu ku search channel upwa lakini rangi haikurudi, sasa sijui ni tatizo la ndani au la. Mwenye uelewa wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu Naomba Mnisaidie kupata Drivers za HP XW4400 For window server 2003?
0 Reactions
3 Replies
973 Views
wakuu zain wananiibia bundle kila nikijiunga muda si mrefu wanakata zote . je nitawezaje kubadili modem yao model ya huwawei E1550 iweze kutumia line zozote ata tigo na voda?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom