Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wanajamii, leo nimeona nije na mada moja ambayo nawaomba tuambiane NJIA ZILIZOPO ZA ku-MONETIZE WEBSITES zetu kwa hapa tanzania... HAKIKISHA NJIA UNAYOIANDIKA NI ILE AMBAYO TAYARI INATUMIKA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salaaa wana jamvi wa teknolojia. Neno quality au ubora tunaliongelea sana. Dhumuni la mjadala huu ni kujadili quality kiteniki na kwa mfano. Tuuulizane. tuelimishane tukosoane. Zipo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajf ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. nimechaguliwa kujinga degrii ya hiyo facult hapo juu., kwa wale mlio soma au wenye uelewa na hiyo course,., mechanical & indstry,. soko la ajira...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
khabr wana JF, nina iphone 3g mpyaaaaaa ,niwasha inaleta picha ya usb caple na itune,and inataka emergence call tu. How can i make it work jaman?
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu Mambo vipi? Naomba TIPS za Kuset VPN kwenye server 2003
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimenyoosha mikono kabisa, naomba mwenye driver ya cd/dvd Rom atakuwa ameniokoa. natanguliza asante
0 Reactions
0 Replies
858 Views
wakuu nimenunua wireless moderm kutoka voda....kiukweli inapiga mzigo kiuhakika na inaspeed ya hali ya juu unaweza ukaitumia hata kwa computer nne kwa wakati mmoja...unaweza ukaitumia kama...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
natafuta battery ya hp compaq laptop (compaq spare 319411-001)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za wakati watblam.Nimeweka window xp 2006 kwenye dell gx270,nilipomaliza nikaweka driver za sauti lakini imegoma kabisa wakati zamani ilikuwa inakubali.Message ninayoipata ni hii.Cannot...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
serious please! Naomba tuweke tafsiri ya 'menu' katika application. Hii itasaidia mtu akitaka kufanya translation ya program kuwa kiswahili. Niko faced na kazi hiyo kwa sasa, msaada wenu muhimu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heelow Again JF!! Im back...Nimefanikiwa kuichakachua Symbian bila key wala cer...Thanks to PHNT Wana symbian wenzangu ule mkwara wa NOKIA kuzuia kutoa tena key na cer kwa ajili ya kuhack simu za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau,<br /> nahtaji kununua laptop,naomba kufahamu ni aina gani ya laptop nzuri yenye bei kuanzia 600,000 hadi 650,000 dukani? Na ni vitu gani vinazingatiwa ili kujiridhisha kuwa hii ni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wadau nilikuwa naomba kuliza yafuatayo mimi si mtaalam sana wa mbao hayaa ya technologya ila ndio nimekuwa nikitaka kufahamu mambo na kujifunza maswali yangu ni haya mawili 1.Ofisini kwetu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau, Kwa siku nyingi nimependa sana kuwa mtaalam wa ICT ila sijajua nisome kozi gani na chuo gani kwa hapa Tz ili hatimaye nitimize ndoto yangu. Napenda ushauri wenu ni chuo gani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
User name and password Wakuu naombeni msaada key yangu imeisha week iliyopita na sasa hii antivirus haiwezi fanya update kama kuna mtu ana working key please unaweza hata nitumia via PM, ~Asanteni!~
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Here's How: NOTE: Be sure to backup anything that you do not want to lose first to be extra safe.1. Start Windows 7, and log on to an administrator account. 2. Disable any 3rd party firewall...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Waheshimiwa, Natanguliza shukurani na salaam. Naomba kujua wapi naweza kupata online storage kwa bei rahisi 1TB inanitosha kabisa,nikipata ambayo naweza kutumia kwa computer 2 ningeshukuru, asanteni.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu habari ya leo, Jamani embu nisaidieni. Nimenunua scanner aina ya canon na kufanya installation kwenye PC yangu yenye windows XP proffessional. Nimemaliza installation vizuri tu ila baada ya...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
What is the Anonia Danger Virus? The Anonia Danger is a worldwide virus; it launches an unexpected program on your desktop, it may be a Windows Media Player, Microsoft Word, Windows Photo Viewer...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu sina hata mengi ya kusema kuhusu hii game mpya kwa wale wapenzi wa racing game ambayo inatarajiwsa kuwa released nafkiri nov. daah hawa jamaa ni wakare. icheck kwenye ...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom