How To Hide Your WiFi Network & Prevent It From Being Seen
Wireless networks are, by their nature, less secure than wired ones. While many users overestimate the potential security problems that...
hey guyz nataka kuconnect kubuntu 10.10 na internet lakini inazingua wakuu kweli ni tofauti na distros zingine za linux can any 1 help me out with this pleaaaaaaaz sabab KDE ni nomaaaa
Kuna project ya online community siyo Social network... Hapa 2na intend kuweka huduma zote za kijamii,2mefanya modules kibao na sasa nataka kufunga online radio. Please mwenye desa naomba jinsi ya...
Wakuu, kwa wale wanaopenda kuangalia movies mpya mpya mitandaoni, basi ingia kwenye website hii: Veetle download hii programe cnet.Veetle-TV then nenda moja kwa moja hapa Veetle ili kuperuzi movie...
Salaam kwa wana JF wote!
Nimekuwa na Samsung Digital Camera (ES70/Es71) kwa miaka miwili sasa. Juzi kuna my friend aliiazima ili akaitumie,nilimpa kwa nia nzuri tu. Cha ajabu ile kunirudishia...
Habarini za jpili wanaJF wenzangu.nilikuwa natafakari peke yangu nikakoswa jibu hivyo nimelileta mbele yenu.Hivi ni mamlaka gani inayohusika na ubora wa uingizwaji wa simu nchini kati ya TBS na...
wale walokua watuponda watu wa nokia its time kufunga midomo, nokia wamezindua 3 operating system kipindi cha karibuni, symbian ana, symbian bella na meego
symbian ana imecompete vizuri na...
Heshima kwenu wadau,
Wakuu nahitaji msaada wa jinsi ya kutuma newsletter mail bila kuifanya kama attachment,nahitaji iwe received inline with the msg
Asanteni.
naombeni msaada jamani, nina filela pdf limewekewa security.
niliona siku moja humu mwenzetu alionyesha jinsi ya kufanya. sasa nimetafuta toka jana sijaipata
niaje wakuu? kuna jamaa wangu amesahau admn. passowrd yake sasa anahitaji kulogin ila ndio ameshindwa. je kuna msaada gani naweza kumpatia ukitoa kuformat au kureinstal windows?
Wadau wapenda hiphop na mziki wa bongo il mixtape yenye michano ya ukweli ipo hewani kutana na sugu, mkoloni, adili, mapacha, soogy, suma g, rama dee, dan msimamo, na vinega wote ndani ya SWAHILI...
Vodacom leo umenitumia ujumbe unaosema: umeshinda kiingilio bure katika droo ya samsung flat screen TV Leo na vodacom!tuma jina lako BILA GHARAMA kwenda 15015 sasa hatukutanii! vodacom mimi...
Kwa wale wazoefu wa facebook.nina sms nying sana kwenye e-mail yangu niliyojiunganayo na facebook coz post na comments zote zinaingia kwenye inbox ya e-mail yangu.nifanyeje ili nisiwe na sms nying...
Wakuu,
Heshima mbele!
Naomba mwenye kujua naweza kumpata wapi
Trainer wa computer basics ili hawa vijana wasiachwe mbali.
Wako shule-kindergaten za Kanumba design lkn lugha si haba.
Computer...
hivi wakuu mnadhani ni lini na hapa kwetu tutaanza kuangalia muvi za 3d zilitongenezwa hapa hapa kwe2? halaf pia kuhusu muvi za animation. hapa kuna magwiji wa 3d modelling, watu wanajua lightwave...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.