Salaam wana JF wote!
Nimekuwa nikitumia internet ya Modem ya Zain kwa kama miaka miwili sasa. Juzi nimeshangaa sana baada ya kugundua kuwa ktkt "My Computer" badala ya kuonyesha Zain-e-Go(D) sasa...
Guys nina mobile application ambayo inaweza kutuma sms kwa group of people. mf inaweza kutuma sms moja kwa watu zaidi ya 1000 af kila mtu akadeliver kwa specification tofauti mfano Hello Gerald...
Habari wana JF.
Wiki inaisha sasa hapa mbeya STAR TV kupitia satellite dish (hasa haya ya futi 6)haishiki kabisa. TATIZO LINAWEZA LIKAWA NINI?. naomba mwenye data na majibu atumwagie hapa...
Habari za wakati wana TEKENOLOJIA.Kuna mkanda wa VHS Ambao nataka uje kwenye DVD.Je nitumie njha gani kufanya hiyo kazi?PC tayari ninayo.
Naombeni Msaada Jamani.Ili niweze kufanya jambo langu...
Nimejaribu kudownload hii game ila imekuja demo tu hivi kuna uwezekano wa kupata iliyo full for free???? and how.... and if no CD za hii game zinapatikana kwa tsh?? please ua help
Hi,
I'll show you how to Install "Lion OSX" into a PC. It's quite kinda easy to install Mac OSX, the most difficult part is to get the correct or right "Bootloader" that will allow us to run...
guys mm nime root simu yangu na nimeweza kuiwezesha simu yangu inayotumia android kuweza ku install applications kwenye memocard after kufanya partion kwenye memo card.
nlikuwa napata shida sana...
wana jf nahitaj msaada wa kujua znakouzwa pad za game za computer nmezunguka maduka mengi bila mafanikio kila napoenda zpo pad za playstation pekeyake.yeyote mwenye kunisaidia ntashukuru sana my...
jaman waungwana wanaojua hizi mambo, kuna kitu nimekutana nacho kinaitwa rooting hasa kwa watumiaji wa os ya android. nimesoma kwamba uki root simu the phone can do what it couldnt do mfano some...
Computer yangu ni toshiba na natumia Window 7 kuna wakati nilibadili window kuanzia hapo Camera haifanyi kazi nashindwa nitype nn ili nigoogle kwa ajili ya kupata drivers/ software kwa ajili ya...
Juzi nilimwagia laptop yangu kinywaji kidogo ikaniletea mizengwe haswa.
Ilijizima alafu kila nikijaribu kuwasha inawaka kwa sekunde kadhaa alafu inajizima yenyewe...sikujua kama inahusiana na...
ndio wana Jf ni ijumaa nyingine tena we thank God for being alive. wakuu mimi leo naomba msaada kuhusu hii social network ya twitter. ni majuzi tu nilijiunga ila kwa kwel kwa kias fulani naona...
Jaman Naomba Msaada Wa Jambo Hili.
Kuna office ambayo ni kama HQ iko hapa Dar es salaam, then kuna Branch Mwanza na Arusha. shida yangu nataka branch za Mwanza na Arusha ziweze kuacces Database...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.