Salaam Wakuu,
Nimekuwa nikitumia dell Latitude laptop lakini naona kama ni bei ghali kuliko dell inspiron.
Je kuna tofauti gani kama mtumiaji wa kawaida?maana wanasema dell latitude ni business...
Wakuu, naomba msaada wenu kuhusu uimara wa hyundai trajet hasa kwa mazingira yetu ya Tanzania.
Iko kama Toyota Gaia, ina abiria 7 ukiongezea na dereva. Nataka kulinunua wakuu.
natumia micromedia Dreamweaver,kwa kweli inanisumbua sana naona ni complicated sana
je kuna software nyingine ambayo ni easy kidogo kwa mgeni wa hayo mambo kama mimi?
Jamani wataalamu naombeni msaada.computer yangu ni nzito sana.ni dell gx 270.hdd 160.ram 1gb.processor 3.0.ila haina ant virus.je inaweza kuwa ni tatizo la kufanya mashine kuwa nzito?pia kwa nini...
Nina desktop yangu dell, ninayo kwa muda wa mwaka sasa na haijawahi kunisumbua ila juzi nilimuazima jamaa yangu flash then aliponirudishia niliiiscan na antivirus ninayotumia ya Symantec na...
Wakuu naomba msaada wa kuichakachua modem mpya ya tigo, imekubali kubadili dashboard tu ila firmware imegoma katakata hivyo inakataa line nyingine zote isipokuwa ya tigo tu. Waliofanikiwa...
Wakuu ninayo Ipad2 3G ,inatumia line ya Airtel Microsim card. Microsim yenyewe ni simcard ya kawaida ambayo imekatwa kuipunguza,,kwani wao hawana sim card hizi ndogo. Tatizo ni kuwa ipad haina...
Wadau,
komputer yangu inaleta shida kidogo hapa.
Nikiichomeka kwenye charger ikiwa imezimwa inawaka kitaa kwamba inacharge-na inakuwa inacharge kweli.
\Tatizo nikiiwasha, inaacha kucharge so baada...
Naomba msaada wakuu.
computer yangu mpaka jana ilikuwa nzima tu. Lakini leo inaniambia no Intel adapter is present in your computer.
computer yenyewe ni hq-compact dx 1000. howdo I go along
Badala ya kuhangaika na Radio ofisini just click hapa na unapata news na updated music.
Endeleeeeaa huku unachapa kazi
Tone Internet Radio
Mimi nimeipenda sana,
Hongereni Vijana kwa kazi Nzuri
Greetings! Hope this message finds you well.
We would like to present ourselves to your respected Company as Digi Matrix Technologies being one of the leading suppliers of Advertising machines in...
Habari,
Natumia moderm ya voda k3570-z but toka nimeanza kuitumia mobile connection ndo inakuwa connected wakati LAN connection haiwi connected.
Je hii haina effect kwenye internet speed.Naomba...
Mambo vp wajomba natumai mpo poa.jamani hili jukwaa naona linazidi kuwa pana zaidi.ukijaribu kuchunguza utaona mada kubwa zinazojadiliwa ni ama mambo ya computer au mambo ya simu. Na modem.japo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.