Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari za weekend? Jamani kuna mdogo wangu anatafuta software ya Microsoft SQL server kwa ajili ya project chuoni anasoma masomo ya IT. Kaniambia mwanzoni walitumia Oracle lkn imewazingua yeye na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomben msaada wajumbe nitumie nini kuifungua modem hii
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hey wakuu, najarbu kutuma fax kwa kutumia "All in One Printer" niliyonunua kwa ajili ya kazi zangu ndogondogo nyumbani; Iko connected tayari na Landline, configuration zote zimefanyika. Ngoma ipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nina website yangu nimeshaitengeneza nataka iwe online,kuna member mmoja alitutumia free web host Weebly - Create a free website and a free blog lakini nafikiri wanataka nilipe, mimi nataka...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndio,mwanzoni nilidhani ni matapeli, kumbe ni kweli!!!! Trick wanayotumia ni kukuambia ongeza salio na upate 200mb za internet bure kuanzia saa 6 usiku-saa 12 asubuhi!Suala ni kwamba sio lazima...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Welcome to the world of Opensoure. Plz watu wanahama kutoka kwenye takataka Windows. Plz kama kuna swali au tatizo kuhusu Linux mda ndiyo huu!
1 Reactions
8 Replies
2K Views
i want to run a web hosting business, i need your advise,what is requirement. thank you!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
There's DVD+R, DVD+RW, DVD-R, DVD-RW, and even DVD-ROM! So what's the difference between all of these different names, aren't all DVDs the same? Well, it's not quite that simple. Let's first...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
jamani kila nikijaribu ku burn CD R , mwisho natapata msg kuwa burning went successfully lakini nikirejea kwenye CD ni empty nikijaribu kuifungua window inaniambia ni format. Nimetumia Nero...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu nataka kununua RAM ya 4GB na hard disk ya 500GB. Je, hivi vyote kwa dar nitapata wapi na kwa how much?
0 Reactions
0 Replies
955 Views
Wakuu leo kwa mara ya kwanza nimekwama kukopi DVD film za hapo kwetu bongo (Tanzania) nimejaribu kukopi kwa kutumia Nero inakataa nawaombeni munisaidie kuna Softare ipi ya kuweza kukopi au ku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
naomba kujua joomla ni nini na inafanyaje kazi,je kwa mimi ninayependa sana web designer itanisaidia nini?nini gharama yake?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuwa makini sana unapotaka kununua simu. Jiepushe na majina haya:- Nokla, ukiwa na pupa au haraka au usipokuwa makini utaweza kufikiri kwamba ni Nokia. Pia siku hizi kuna simu zako ziko branded...
2 Reactions
48 Replies
7K Views
Wale wote mnaopenda vitu vya chee sasa mtakoma. Wenyewe wamewashtukieni! July 7, 2011 8:39 AM PDT Top ISPs agree to become copyright cops by Greg Sandoval Some of the top ISPs, including...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam kwa wana JF wote! Ni kuwa wakati napiga simu,mpokeaji/receiver ananisikia kwa mbali/shida sana (i.e. sauti yangu inakuwa chini mno). Wakati huo mimi nakuwa namsikia vizuri sana! Inafika...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Nataka ku attach 100+MB file, natumia yahoo nifanyaje? Msaada!!!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
salaam wakuu,natumaini mambo ni shwari. Naomba msaada kuna rafk yangu jana kaibiwa blackberry bold yake,je is there any means kuweza kuitrack nakuirecover? Natanguliza shukran za dhati wakuu
0 Reactions
4 Replies
857 Views
Nimesoma article kwenye link hii Ban PowerPoint! - Tim Worstall - It's All Trivial Or Obvious Except - Forbes inaonekana wazungu wanataka turudi kwenye flip charts. na most of them wanasema it is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Please kwa mtu yeyote anayejua ku Design online radio naomba msaada, am some how good in IT lakini kama kuna mtu atanipa starting point au location ambapo naweza pata resources please let me know!!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wanajamvi naombeni michango yenu, nina maswali machache juu ya e-learning kwa mazingira ya Tanzania. 1. Hali halisi ya matumizi ya e-learning kwa Tanzania ikoje kwa sasa? 2. Ni matatizo gani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom