Nataka Kujua ile Blog, Website ya Ikulu Mawasiliano, kwa nini hawaweki habari yoyote mpya?
Mara ya mwisho kupost habari ilikuwa Friday, March 25, 2011, toka hapo inaonekana wameisusa
Wenye Data...
Wanajamvi watu wanakuna vichwa sisi huku tuko busy na politicki.. waht can we do ? Anyway hatuwezi hata kushindwa kuwa mareporter wa habari nzuri za kiteknolojia. teh teh teh
Haya jamaa...
Scientists in Japan have cured the agony of a long distance relationship. The internet kissing machine allows a couple to kiss even if they are thousands of miles apart. Kind of beautiful...
WanaJF mambo vp?Kuna kifaa fulani kinachotumika kusafishia rangi ya tv sikijui jina lake kinaitwaje niliwahi kukiona nchini Kenya kwa fundi mmoja kama miaka mitano iliyopita.Kifaa chenyewe ukubwa...
Habari wana JF!!
Natumia moderm ya vodacom, siku za hivi karibuni imekuwa inakula fedha isivyo kawaida!! Awali nilipokuwa na outoupdate ya program mbalimbali hela ilikuwa haiendi kama sasa...
wana-JF habarini ya majukum, mwenzenu naombeni mnipe maelezo kuhusiana na shocks up zinazotumia umeme kwenye gari aina ya Toyota Amazon ya mwaka 2004, wiki iliyopita nilikuwa nimepeleka gari...
1. Dynamic CSS
Kama unataka kuongeza uwezo wako wa CSS coding, you need to learn to write dynamic CSS. Most of the dynamic CSS adds nested riles, variables, mixins, selector inheritance...
Salaam wana jf,nimekuwa naona watu wanazisifia hizo modems za safaricom kwamba unaweza tumia line ya mtandao wowote ule hapa tz.swali ni kwamba,zinauzwa maduka gani hapa dar,au ni mpaka kenya tu?
habari wana jF, nina tatizo la ku edit basic infmtn kwenye akaunti yangu ya yahoo mail., niliyoifungua tangu 2004. kila nikiedit jina langu, sioni mabadiliko, i mean nikisha sign in..naambiwa...
The Samsung Infuse 4G, T-Mobile G2x, Sony Xperia Play, and Nexus S 4G. Here's a rundown on each phone and why the gadget savvies should not miss any of them as they stand out from the crowd...
Jamani eeh, world is full of secret and exclusive places that we either don't know about, or simply couldn't visit if we wanted to. This list takes a look at ten of the most significant places...
NILIKUWA NATAKA KUUPDATE FIRMWARE KWENYE MODEM YANGU YA TIGO HUAWEI E 153u-1, THEN NIKADOWNLOAD HIYO FIRMWARE UPDATE SOFTWATE(huawei E153), NIKAFUATA PROCEDURE ZOTE ZA KUUPDATE FIRMWARE, LAKINI...
Jamani wadau natumia nokia 2323c na nokia 2700c ni nzuri kwa kwel coz zina operamin na natumia net bila vikwazo ila cha ajabu zote hazina sehemu ya backlight setting kwajili ya kupunguza kasi ya...
Msaada wadau,
Nina cd ya windows7 ambayo sio bootable, nimekwama jinsi ya kuburn hizo files kuwa bootable win7. Nimejaribu kutengeneza iso file kwa ajili ya kuburn bila mafanikio. Natumia...
DEear all.
I hv a problem with my outlook where by i can send an e-mail to clients but whn they tried to reply to the same address thy cant reach me (kunipata).
What is the problem and what is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.