Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
HELLO JF nimejaribu kusaka hapa na pale na nimeona website nyingi zinauza aina fulani ya connector kwa ajili ya kuunganisha modem ya tigo na external antenna. ila sijajua hii connector inaungwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Natumia printer aina hiyo hapo juu imekuwa na tatizo kila ninapojaribu kuprint inaniambia "Dust bin is full, remove dust bin." Nimejaribu kuangalia hiyo dust bin ipo eneo gani la printer...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kuna anaejua wapi au jinsi ya kubadilisha full time 4wd inaweza kubadilishwa kuwa 2wd?manake fuel inaenda si mchezo Thanks
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wana jf,pc yng ilikua ukiwasha yaleta vimsg dat internet download manager has 2 b regsterd,ambapo nkitaka download v2 vyagma mpk ni rejista IDM,asa serial namb cna,nkaamua kui uninstall,sasa nktk...
0 Reactions
6 Replies
949 Views
watch it here KBC CHANNEL 1
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naombeni msaada! Nataka kununua E-book reader, nimezunguka maduka kadhaa hapa Dar lakini nimekosa. Option niliyonayo sasa ni kuagiza. Kwa wazoefu wa E-book readers, je ni ipi katika ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
wanajamvi habarini.. Jamani hizi simu za blackberry naona zinanitesa mno,.. naomba kama kuna namna naweza fanya nikapunguza mateso haya tusaidiane pliz.. inanigomea kwenye internet kila...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hamjambo wataalam!? Nimechoka kunununua charger mpya kila siku kwahiyo naombeni msaada/mwongozo wa kutatua tatizo langu.Nna kimeo changu(laptop) cha HP 550 kwa miaka miwili sasa,...kinanitesa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Ninapoandika thread hiii ninatumia modem yangu niliyochakachua muda si mrefu.kwa sasa natumia mtandao wa airtel kuwa online.if u dont bother pm me and i will help u at my conviniency...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndg zangu wapendwa kumekuwepo na malalamiko mengi sana kuhusiana na wizi katika zap account na m-pesa. Katika utafiti wangu usio rasmi nimegundua kwamba kuna makosa yanayo fanywa na wamiliki...
2 Reactions
20 Replies
12K Views
wakubwa naleta mezani matatizo mawili,lakwanza komputa nimeinstal antivirus ikascan baada yamuda ikarestart halafu inaonyesha blue screen haina chochote,pili nina simu yangu nadhani virus wameila...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
hili tatizo la kopmyuta kuwa kama kuna vitu kwa ndani vinakwaruza ama kukoroma ni nini hasa? nilishasikia sijui ni RAM imechoka vile au nilisikia vibaya? na ufumbuzi wake ili isikorome tena ni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
I came across this new e.a website EA Combined-East Africa is Talking - Powered by CO.CC What do you think about it? Nimeipenda!
0 Reactions
2 Replies
934 Views
Quote/Source: Brandon Griggs, CNN, June 01, 2011 When it comes to radiation levels emitted by cell phones, all phone models aren't created equal. Cell phone users -- a group that, these...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
NIMEIBIWA LAPTOP, NA MORDEM YA AIRTEL. JE KUNA PROGRAM YOYOTE AMBAYO INAWEZA KUTUMIKA ILI KUJUA MAHALI ILIPO AU INAPOTUMIKA.... NINA IMEI... YAKE PAMOJA NA MORDEM.:confused2:
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nina nokia pc suit,ila sasa files naeza transfer ila net yagma,inanambia no 4nes found,pia nina bluetooth ambayo hata visibility haionesh yn!watc da prblm?
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Wakuu habarini za asubuh? Jaman nimehaingaika sana kutafuta samsung pc studio inayosupport kwa window 7 msaada kwa aliye nayo.
0 Reactions
3 Replies
959 Views
Kuna wakati unaweza kufikiria unaibiwa na mtoa huduma ya internet kwakuwa spidi ya internet yako inakuwa taratibu mno,wengine wamediriki hata kwenda kwa mafundi na kulalamika kuwa kompyuta...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Salaam wakuu wa jf,mimi ni mmja kati ya wadau wa graphics hapa jf,na nina blog yangu niliyoianzisha hivi karibuni kwa ajili ya kufanya designs za logo,banners na kazi nyingine za graphics kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom