Habari zenu wakubwa, jamani naomben msaada wenu wanajamvi... Nimeinstall samsung pc studio katika pc yangu ila kila nkitaka kuconnect cm yangu kama modem haitaki ila ishu za multmedia inakubali...
hello brothersss.
nahitaji msaada wa mawazo yenu,je ni software ipi nzuri kwa ajili ya kurecord dawa kwenye duka la madawa?
nimefikiria kuhusu microsoft access lakini nahisi itakuwa complicated...
Habarini wana JF, Ni kawaida yangu ninapotaka kuangalia filamu kwenye kompyuta huwa naikopi kwanza. Mwezi Mei nimenunua filamu ambayo Kila ninapotaka kukopi inaonyesha kuwa ina GB 300. Hard Disk...
Nikiwasha laptop aina ya Compaq, ile power light inakuwa kama inablink haraka sana huku adapter ikiwa connected to the laptop and power socket na umeme unapita vizuri tu, sasa nilijaribu kutoa...
Wanajamii jamani naomba msaada wenu wanandugu..leo nilikuwa napita pita kwenye website moja wamerank anti virus number moja ni bit defender na ya pili ni karspersky ambayo ndio natumia sasa kwa...
Did you just drop your cellphone in water? Or maybe you'd like to know what to do if that happens! This week on Upgrade Your Life, Yahoo! News' Becky Worley shows us first aid techniques for...
NEW YORK (CNNMoney) -- Apple CEO Steve Jobs unveiled iCloud, a free wireless storage and syncing service, at Apple's annual Worldwide Developers Conference on Monday.
ICloud automatically stores...
"This structure is 700′ x 150′, and is colored white with blue and red stripes against the red Martian soil. This is not a rock or mountain. It is a manufactured structure. This is not...
p { margin-bottom: 0.08in; }
Nimeshindwa kuondoa hili tatizo,kila napojaribu kurun code hizi kwa kutumia Mozilla firefox Napata hii meseji
Warning: Cannot modify header information -...
tafadhari wana jf naomba kujua kama kusikiliza free on air radio kupitia internet kuna gharama? maake juzi nilijaribu kuangalia mechi ya simba kupitia mtandao sijamaliza hata dakika tano elfu...
Breaking all NOKIA Symbian smartphones
The author of this miracle: stas686, an improvement from CODeRUS.
The newest way to hack NOKIA Symbian with the new firmware without a PC and...
waheshimiwa, tafadhali, naombeni mwenye uzoefu wa hizi moderm za internet za mitandao ya simu anisaidie kitu hiki, mwanzoni nimekuwa nikitumia zantel kwa muda mrefu, nilikuwa Dar es salaam...
Need help...
I am coding ma project using C sharp on Visual Studio 2008.. Recently ma visual Studio is failing to load one file called "Envtde.dll"..
Actually this file (Envtde.dll) is...
wakuu nilitaka ku unlock hii mordem ya tigo nimeweka line ya Airtel nikichomeka ktk usb ili itokee unlock box niweke unlock code unlock box haijitokezi badala yake ina inatoka massage inasema...
Haya mliokuwa mkibisha tizameni speed nayoipata ni 2.81mbps.
hapa imeshuka hadi 2.50mbps.
Hapa imeshuka tena hadi 2.42mbps, ambako haishuki shini zaidi ya hapa iwe asabuhi au usiku speed inakuwa...
Wataalamu naomba kuuliza, je hawa startimes wameanza kurusha matangazo mkoa wa kilimanjaro,kwa kua kuna ndugu yangu amenunua anasema hakuna signal, i mean hakuna strength wala quality zote zipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.