wadau wa jukwaa habari
Nimepata simu ya HTC herm200 na nahitaji kuiunganisha na computer yangu lakini nikiichomeka na usb cable haionekani.Lakini nimesikia kuna software lazima uinstall kwanza...
jamani tujue kuwa kwa tanzania ukitoka tu nje ya DAR basi hakuna spidi ya maana ya internet. zote zinakuwa ni EDGE tu , sio 3G tena. labda kwa zantel nao wao hawapo sehemu nyingi kwa sasa.
mie...
JAMANI WATAALAM WA VYOMBO VYA KITEKNOLOJIA NAOMBA KUULIZA ETI HP PRINTER YENYE UWEZO WA KUPRINT,KUPIGA PHOTOCOPY,NA KUSCANI NI IMARA KWA MATUMIZI YA KILA SIKU?KWA KUWA HAPA NI KWA WATAALAM WA...
Modem yangu inakataa kuconnect net nijaribu njia zote nimeshindwa inaniambia kuna software inazuia kwenye my laptop bt kwenye laptop nyingine inapiga mzigo kama kawaida'wakuu kama mtu anaweza...
Salama wakuu? shida yangu ni moja kama inavojieleza hapo juu. tatizo ni kwamba hizi modem hazijaandikwa imei(ni version ya zamani kidogo) so dzain kama kuna S/N peke yake kwaiyo na kwama katika...
MAMBO VIPI WAKUU,
WAZEE KAMA KUNA ANAYEWEZA KUNISAIDIA KUPATA SCREEN YA LAPTOP YANGU, AMBAYO NI LENOVO THINKPAD T400, MODEL YA SCREEN YAKE NI:
LP141WP2 (TL)(B1) P/N: 42T0498
YA KWANGU...
Laptop Buying Guide: Making Sense of the Specifications
Shopping for a laptop, but unsure about the features you need? Here are the most important laptop specs to consider.
By Jason Cross...
Bilashaka leo upo happy, pole kama hauna furaha.. Wakuu mimi natumia samsung sgh u900 ina matatizo mawili makubwa 1) mtu akinipigia simu nikaikata bila kuipokea simu inakata alafu inaniandikia...
Habari ya saizi wana JF,minaombeni msaada kama kuna mtu ambaye anajua jinsi ya ku hack password protected excel file,yani nikwamba kuna files nataka kufungua,ni za excel lakini nashindwa kuona...
Habari JF,
Pliz nisaidieni. Nime-format PC yangu majuzi. iliiingia virus kibao nikashindwa kuwatoa wote ikawa ina-behave kiajabu ajabu so nikaamua kui-format. Baada ya kuhangaika sana ku-format...
Wataalamu wenzangu...kila nikijaribu kidownload kutoka hii link inagoma please naomba mnijaribie halafu mniambie inaleta msg gani, nashindwa kuelewa kama ni server yangu inazuia au file lipo...
Ninaomba mnisaidie namna ya kutatua tatizo kila nikiunga Modem yangu kwenye computer yangu inaleta msg km inavyoonekana kwenye picha.
Asanteni sana wadau.
Hi! JF members, nikifungua e mail adress yangu inanitaka kuupgrade yahoo mail yangu.
What that? and how to upgrade? na inahitaji explorer 7 how can i know my explorer is 7, 8, or 9?
help please
Jamani wakuu this is really killing me, and my reputation around coleagues. Kuanzia kama miezi 7 iliyopita imekuwa kwamba anytime I use tech devices kama simu( mainly WAP), internet na computer...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.