Wakuu wataalam naomba msaada wenu. Nina laptop ambayo caps zimelock, nikiandika ninakuwa kama nimeweka capitals, kwa hiyo siwezi ku log in na password yangu maana inaandika password na...
Nilinunua Modem ya Vodacom aina ya ZTE, Vodafone K3570-Z. Nilihangaika sana kuifanya iweze kutumika kwa kila mtandao. Bahati nzuri nikatembelea mtandao fulani ambapo mtu kwa jina la Shahnawaz...
Wakuu wa IT nisaidieni nimekwama hapa.
Natumia Eclipse kama IDE.
Apache kama webserver
Tomcat kama container
Lakini flash file iliyopo kwenye heder.jspf inagoma kuwa displayed.
Hii ndio...
kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona...
ICT ni sehemu ndogo ya Teknolojia.
Siku si nyingi tutasikia bajeti ya matumizi ya serikali kwa mwaka 2011/2012.
Niko interested na nawashauri wadau wote wa ICT ni vizuru tujaribu kutafuta...
wadau naomba msaada wenu, nahitaji kuwa na web yenye domain name ya .co.tz, niwaone nani ambao wanabei nzuri kwa usajili? na ni nani na nani wenye mamlaka ya kusajili? vilevile na webhosting...
Natumia notron antivirus ktk computer but two weeks ago imejiturn off, and it always alerting "your norton antivirus turned off." Wadau naomba mnisaidie jinsi ya kuturn on
Kwa upande wangu nimeamua kuwapongea Airtel kwa kuifanyia marekebisho mitambo yao.Kwani nilikuwa sipati kabisa UMTS ilikuwa EDGE tu.Siku za nyuma nikichagua UMTS ilikuwa haikamati mawimbi ila...
wakuu wajamvi, Nawasalimuni nyote.
leo Naomba mchango wenu katika hili,
ukiwa na window vista katika computer yako isiyo genuine,... je kuna namna yeyote naweza kuifanya ikawa genuine??
msaada pliz
IBM yafungua ofisi Tanzania
na Irene Mark
KAMPUNI ya IBM imefungua tawi lake jijini Dar es Salaam ili kurahisisha upatikanaji wa huduma zake barani Afrika na Dunia nzima.
Akizungumza na...
NI BEI RAHISI
160km/charge
2010 august magari 100,000 yalipelekwa, miezi minne baadaye 70,000 yalikwisha kuuzwa
soma mwenyewe hapa Better Place - Wikipedia, the free encyclopedia
wadau naomba msaada nina hii kitu ilipata virus nika format sasa natafuta software yake nimejaribu kuangalia ktk website yao hakuna software kuna yoyote anaejua jinsi ya kupata hii software na...
kwanini lakini huu mtandao wa tigo,hususani 3G,inashika vizuri ktk ya jiji tu,yaani hata tv stations,kama aljazeera,press tv,na france 24,unatazama kupitia kwenye simu,clear kama mkanda.mbona...
Wakuu, nawaombeni msaada wenu kwa mara nyingine tena. Laptop yangu imekuwa ikileta shida tangu nilipoi-formart miezi miwili iliyopita. Tatizo lillilopo kwa sasa ni la desktop icons hasa shortcuts...
Wakuu habari zenu?
kuna tatizo ambalo huwa nalipata ninapo play movies ambazo nimedownload kwenye internet
kuna message huwa inakuja inasema!
The file you are attempting to play has ana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.