wana jf
naomba msaada kwani nikiwa na type inatoke namba 3 na kujityp3e yenyewe mara nyingi bila kusimama ... mp3aka nitumie backsp3ace ndio inarudi lakini hujirudia tena ..... ninapo press...
Pokea offa za bidhaa na mbali mbali na huduma mbali mbali unazopendelea kwa njia ya sms.
Huduma hii niya kampuni mpya ya technologia Bongo Live! Kusajili na kupokea sms ni bure.
Sajili...
Hallow wanaJf, naomba downlink (especially torrent) ambapo nitaweza kupakua Microsoft office professional 2010 full version with actvation key
natanguliza shukrani.
Wakuu naomba mwenye adress ya Magazeti yafuatayo kwenye NET ,Mwanahalisi,kiu,kulikoni na kama kuna magazeti mengine mimi nipo kijijini,nawatakia wk njema na majibu ya uhakika Asante.
wanajamii naombeni msaada kwa hili tatizo langu.last week nilinunua dvd r aina ya logik ldvr78 hiyo dvd ime contain digital tv,dvb n so kurekodi inarekodi fresh through scart and cvbs input. the...
Hivi karibuni kuna teknolojia mpya imegundulika,teknolojia hiyo utendaji kazi wake ni kama Bluetooth ila yenyewe ina huwezo mkubwa zaidi ya bluetooth.Inasemekana hiyo teknolojia itaweza kuonda...
Imefahamika kwamba mradi wa mkongo wa mawasiliano wa kimataifa utakamilika na kuunganishwa na mtandao wa ndani kuanzia mwezi ujao. Kwa kuanzia mikoa minane itaunganishwa na kupunguza gharama za...
Mimi kitaaluma ni muhasibu lakini napenda sana IT maana naamini katika hiyo itatusaidia kupigambele hatua na kupunguza kero nyingi za wananchi kama ikitumiwa vizuri fursa hii.
Jicho langu kubwa...
Wapendwa za jioni, jaman kwenye mashne yangu nilikua natumia window xp service pack2. Sasa leo nikiwa online ikawa imekamatwa kuwa ni pirated so nikadeside kuweka window seven7 without...
Habari wanaJF,
Kwa muda mrefu nimetamani kununua bidhaa mbalimbali toka nje ya nchi na hasa kupitia njia ya mtandao.najua ipo mitandao mingi inauza bidhaa mbalimbali,lakini nimeingia woga baada...
NINA LAPTOP YANGU DELL D630 ILIANZA TATIZO KWA KUTOWAKA NA UKIBONYEZA POWER BUTTON INAFLASH TAA YA POWER,PROCESSOR NA BLUETOOTH THN INAZMA BILA HATA KUTOA SIGNAL YOYOTE KW SCREEN.
HV SS HATA...
Wadau ninatatizwa na package za Airtel,yaani wanasema wanakupa 400mb kwa 2500/- na pai wanatoa 300 mb kw 3000/- sasa kinachonishangaza inakuaje mb kubwa bei ndogo na mb ndogo bei kubwa, naomba...
Habari wanajamii F.Mimi nimekuwa mtumiaji mzuri wa internet kwa muda mrefu kabla hata mkongo wa mawasiliano haujaanza kuzungumziwa.Ninachoshangaa ni kwa kumekuwa kukitolewa taarifa mbalimbali...
Mango, the future of Windows phone | Futurespace Magazine
Ive never been a fan of Microsofts mobile phone software, but having played with Mango, the next version of Windows Phone, I confess...
Watengenezaji wa cinema ya Hurt Locker wameanza mchakato wa kuwashitaki zaidia ya watu 24,000 ambao walikuwa wanashare muvi hiyo kupitia mtandao wa BitTorrent.
Hurt Locker lawsuit targets...
Rapid-release idea spreads to Firefox 5 beta
Mozilla released a beta version of Firefox yesterday, its first on a new quick-release plan intended to bring features to browser users and Web...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.