Jamani Naomba Msaada wa hii http://www.biztree.com/Templates/App_Images/Preview3/Business-Plan.swf document iweze kuwa kwenye Microsoft ward Pleas, Nimetumia Ujanja wangu wote nimechemsha
Seventeen lost pyramids are among the buildings identified in a new satellite survey of Egypt.
More than 1,000 tombs and 3,000 ancient settlements were also revealed by looking at infra-red...
Hi, Just sharing this e-book i have tested it's working.
Download an enjoy
Microsoft Office 2010 Bible.pdf (19.07 MB)
MEGAUPLOAD - The leading online storage and file delivery service
keep...
kuna kaujanja kanatumika ktk mtandao mfano una laini yako ya tigo au airtel,kuna jinsi unafanya then unapata internet bure muda wote miaka yote,kama hamjui hiyo siri,ni kwamba ipo!niliwahi muona...
Hivi ni nini sababu ya mitandao mingine ya simu kuanza na speed nzuri ya data katika internet halafu baadaye speed inafifia?
Na je speed ikififia hawana njia ya kufanya ili speed yao iliyoanza...
Kuna sistangu ako iPhone la kichina, sasa amelikorokochoa akajikuta amebadili lugha na kuseti Mandarin. Mara ya kwanza nilibofya kwa kubahatisha nikamrekebishia, sasa nipo mbali nae na yeye hawezi...
Habari wana teknolojia wa jf
Nina pc yangu inanisumbua, Start button is missing,start and taskbar haifunguki, explorer.exe haifunguki lakini naweza kulogon na kufungua data zangu anuai,kingine...
HELOO jf members
Kuna hii kitu inaitwa sonic Wall,Najua ni hardware ambayo inawekwa kwenye gateway for filtering the incoming packets,,
Sasa nahitaji msaada mmoja,je kuna njia yoyote ya kuweza ku...
Member wenzangu najua 2 wazima mie langu leo ni kuhsu voda leo asbh nimegundua kuwa wamebadilisha maandish ya mtandao wanaandika kwa herufi kubwa"VODACOM§ TZ" Na pia wameanza kuuptudate mda(saa)...
habari wana jukwaa faida(jf). Naomba kama kuna member mwenye PROPOSAL WRITING SOFTWARE anisaidie. au anielekeze sehemu ninapoweza kuipata. weekend njema.
ni hp pavilion Laptop, ukipress power button ili kuswitch on, led inayoindicate status ya laptop kama either ipo ktk sleep mode inablink continuously with no any display of any character ktk...
Kuna laptop ya rafik yangu m1 aina ya toshiba aliniletea nimsaidie kuichek kwan ilikuwa haiwaki kabisa. Nmebahatika kutrace tatizo na nikagundua ni power adapter ndio tatizo. Lakini nilipoiwasha...
Kuna laptop ya rafik yangu m1 kaniletea nimsaidie kuichek kwan ilikuwa haiwaki kabisa. Nmebahatika kutrace tatizo na nikagundua ni power adapter ndio tatizo. Lakini nilipoiwasha nikaja gundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.