Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nataka kuanza kupiga video za uswahilini.Je camera ipi ni ya bei nafuu kabisa na nzur?ina range shiling ngap?Naombeni msaada wataalamu!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Helo wataalam Kuna ka modem ka Huawei E153 KAMENISHINDA kuchakachua nimejaribu kufuatilia thread mbali mbali lakini napata error 'send unlock command: ERROR baada ya kufuata hatua anuai...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
NOTE: This post is intended for novice users. Experts are welcome to contribute. Social Networks kama facebook ,tweeter, JF, n.k zimejenga uhuru mkubwa wa kujieleza. Bahati mbaya kuna wengine...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nilipoiona hii nikafanya quick survey ya nyumba yangu, nikabaki kucheka sana!:shock::ranger: Nawatakia Workers' Day njema wakuu!
0 Reactions
0 Replies
788 Views
hellow great thinkers! Nina tatizo na simu yangu ni iphone 3G (mchina),ilianguka chini,sasa inaleta shida in texting! Ni touch screen. Kwa yeyote aliye na utaalam wa michina anisaidie...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu naomba mwongozo wa namna ya kuweka Avatar!simu yangu ni N79
0 Reactions
1 Replies
977 Views
The whole social networking phenomenon has millions of Americans sharing their photos, favorite songs and details about their class reunions on Facebook, MySpace, Twitter and dozens of similar...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
hapo chini huyo jamaa atatoa interview amwage razi live tarehe 4 mwezi huu more news na majadiliano gonga hapo chini Inventor Survives 10 Murder Attempts to Release World Changing...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Nimejaribu ku-unlock Airtel Modem kwa utaratibu kama wa modem za Tigo nikapata Un-Lock errors naombeni msaada wenu.Natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna kitu kinatendeka kuhusu hii airtel internet. Wao wamekuja na offer wanakupa 200mb free ukiongeza credit kabla ya saa 6 usiku, sasa cha kushangaza nimekuja kugundua kwamba ukiweka credit na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
nilipotea kdogo sababu ya mihangaiko,, naombo kuulza hzi laptop min sana sana za acer unakuta znawaka halafu hazdisplay ni jinsi gan ya kutatua tatzo?? hli??
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu zangu nina usb flash 2 ambazo moja inajina Kingstone data traveler 8GB na ya pili inaitwa Sony 8GB.Tatizo lilopo kwenye hizi flash ni kwamba zinaharibu files ambazo zipo kwenye format ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kwa mtu anayeweza kunipatia soft copy driver ya kuinstall Epson 010F scanner. Hard copy sina.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimejiunga na Tigo muda si mrefu baada ya kununua modem yao, kinachonikera ni kuqa mara kwa mara mtandao unakatika yaani una kuwa hauna access. Inabidi kila mara ku click kwenye connect ili kuanza...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ok wakuu Hii image ninataka ichukue seheu ya juu ya web page . web yenyewe inahusika ni directory ambayo itakuwa na contact za watu ,biashara taaluma na huduma mbali mbali. Ville vile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hii modem ina kadude kaa kuingizia LINE lakini yenyewe kama yenyewe haitumii line na Zantel inapiga net kama kawa... Sasa nataka kuichakachua kama modem nyingine ili nitie line ya TIGO au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hodi wana JF Pengine mimi si mtaalam sana wa IT, lakini wakati hizi Fibre Optic network cables zilipokuwa zinatandazwa tuliahidiwa kuwa mawasiliano ya internet yangekuwa na kasi zaidi na tena...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
1. Jifunze jambo au habari mpya kila siku. Kwa kutumia gooogle na mitandao mbali mbali mbali ni rahisi kujifunza mambo mapya ya kitenolojia. Changamoto ni chanzo ni chanzo na habari gani...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
KWA WALE ENTHUSIASTS WA UBUNTU, UBUNTU 11.04 IMESHAKUWA RELEASED LEO TAR 28-04-2011 at 2.00 PM GMT +3 MIMI NDO MANALIZIA KUI DOWNLOAD HAPA.
2 Reactions
16 Replies
2K Views
nimeongea na mdau mmoja wa arusha yuko humu JF ni mtalam wa hii kitu,anasema kuwa hiyo programe ni kwa computer za MAC tu ambazo si nyingi9 kwa nchi kama za kwetu. Hii ni kweli au...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Back
Top Bottom