Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wanajamii forum nimerudi tena niko mbioni kuzindua application ya ngu ya bongo music tune wakati wowote karibu maelezo zaidi ingia kwenye facebook search:bongo music tune
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna kitu kimekuwa kikinichanganya sana wakati wa kutuma email. To:hapa ni mahali pa kujaza email add ya yule unayemwandikia. Cc: tangu zamani ni sehemu ya kujaza add ya mtumd email. Sasa ,Bcc...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
shida ya microsoft word,wadau nipeni ujanja nikifungua word au excel inaandika there is no enough memory or disk space to run word,Nifanyeje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
msishtuke na wala sijakosea hii thread ndo mahala pake hapa Tujaldili Process au hatua gani zinafanyika kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka bidhaa ya kondom ikazalishwa Malighafi/raw...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Guys have been trying ku'download videos in form of ''torrents'' by using Bit Torrent in a wireless network...internet speed ipo safi kabisa but the files dat i want kudownload the download...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Gurus, I need your help. We have a system developed using php and mySQL, running on windows OS with XAMPP. To simplify installation I would like to have wise installer for this system. Any...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wadau katika pitia pitia yangu ya google kutaka kujua speed halisi anayotoa ISP wangu nimekutana na hii site Speedtest.net - The Global Broadband Speed Test click the link then click BEGIN TEST...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu kuna mwenye keys za xmanager3....anisaidie tafadhali
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Wadau naomba mnieleze jinsi ya kuweka miziki kwenye iphone4 na je hapa bongo original iphone4 ni bei gani?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Habari, naomba munisaidie nawezaje kufungua "word document" iliyo na password (siijui password iliyowekwa), kama kuna software ya kufanya hilo naiomba. Natanguliza shukrani, Mak.
0 Reactions
2 Replies
337 Views
Kwenu Wataalamu JF. Nina maswali mawili ambayo wengi wenu mnaweza kuyaona ni rahisi lakini kwa sisi ambao tumeanza ;kucheza' na Computer baada ya kustaafu kazi ofisi za serikali zisizo na Computer...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
PLEASE, Naomba mnisaidie wadau. Laptop yangu ina OS mbili. Ubuntu na XP. Nikitumia ubuntu mambo poa ila nikilog-in kwenye windows XP haisomi flash wala externel, I don know how to solve it. I NEED...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
jamani wadau naomba mnisaidie nina laptop yangu imegoma kufanya installation ya window.inafika mahala inastuck kabisa.inaishia kwenye kipengele kinachosema SETUP UPDATE WINDOW.Nifanyeje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau naomba msaada wenu kuna ndugu yangu amenunua laptop Ila akijaribu kuingia inamwambia imefungwa biodisk sasa ananiambia inabid i aingie kama guest. Amepeleka kwa mafundi kadhaa hapo dar...
0 Reactions
2 Replies
692 Views
salama wakuu? Tatzo langu ni moja,kuna jamaa yangu nilimuazima external yang aina ya transcend 500gb akacopy movie,sasa sijui alifanyaje nikiikonect kwenye pc huweiz kuiona kwenye my computer japo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Naomba msaada me ni member ila huwa najaribu kuchangia maada mbalimbali wanazoanzisha wajumbe ila nimepewa warning kuwa ushiriki wa acount yangu hauonekan hivyo naombeni msaada khs jinsi gani...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Jf.Mi nna diploma in clinical medicine .Malengo yangu mwaka huu ni kurudi chuoni MUHAS/SUA.Nime2mia muda mwingi kutafuta forms tajwa hapo juu bila mafanikio.Ninashimdwa kuelewa kuwa tatizo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Miaka michache iliyopita tuliwahi kuwa na mazumzo na watu Fulani kuhusu Punguzo la Programu za komputa zinazotumika sana na Watu nchini haswa zile za Kampuni la Microsoft kama Microsoft Office ...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
salama wanatekno...guys nimesikia huduma ya tigo ya data ni nzuri...sasa mimi siwez kupata mtandao wao wanaodai ni wa 3G Napata EDGE tu....tafadhalini msaada kwa hl,shukran.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Hi all, Survey ended. Thanks for responding. Home | CMS Customization | Web development | SEO | Web design Cambridge
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom