Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimejitahidi kuangalia sites mbalimbali via google nimetoka patupu. sasa kama kuna mtu keshawahi fanya hii kitu naomba animwagie maujuzi hapa. Optical drive-cd rom yangu imegoma na sina option...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakubwa naomba msaada wa kupata Product key window 7 ili ni activate window Nimefuata procedures za kufuata manually SOMA HAPA lakini nimekwama katika product key,nifanyeje? Nitashukuru R
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari zenu wandugu jf.. Sasa jamii me natumia dell laptop dell latitude d600..natafuta driver za wireless..nimejaribu kudownload kwenye dell website yao lakin inanizungua..msaada wa link kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wandugu jf.. Sasa jamii me natumia dell laptop dell latitude d600..natafuta driver za wireless..nimejaribu kudownload kwenye dell website yao lakin inanizungua..msaada wa link kuna...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Check this web for more information: Hermitscorp Laboratory
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba "Username" na "Serials" ya "Propel Accelerator 6.1.6.1103" au "propel accelerator 6.3.0.3303" Ninatumia Dial Up connection na eneo ninaloishi net ni magumashi ila nimepata hii software...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhalini wanaJF, nisaidieni kuchakachua modem ya vodafone: IMEI:359592035473902 MODEL: K3570-2 NATANGULIZA SHUKURANI
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Microsoft has launched the finished version of its Internet Explorer 9 web browser. The company said IE9's graphics handling, security and privacy features put it on an even footing with Firefox...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WanaJF mambo vp? Jamani umeme unatusumbua sana hadi unapelekea nawaza jambo fulani sijui inawezekana? Hivi hakuna utaalamu unaoweza kutumika ukawa na inveter inayozalisha umeme wa AC220v umeme huo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wadau naomba tena msaada wenu, naomba mnijulishe kama kuna njia nyingine ya kupata password ya mtumiaji wa iphone ili aweze kudownload programmes na vitu vingine.Nimejitahidi kuregister ili kupata...
1 Reactions
9 Replies
10K Views
Jamani naomba msaada wenu wadau wa teknolojia hii, Nilikuwa naformat laptop yangu nilipoweka cd ya windows xp imekwenda ikafika mahala ikanitolea msg yenye maneno haya STOP...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Napanda kujua wana jamii forum kama kuna yeyote anayefahamu streaming tv ya bure anipe ulr address yake!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshima Kwenu. Wakuu kama Miezi Sita iliyopita Nilinunua Nokia 5130 na nimeitumia Vizuri sana hadi kama wiki mbili zilizopita ilipoanza kunisumbua, Ina tatizo la kuzima na kujiwasha yenyewe kila...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Washington, Nov 11 (ANI): Chemists from the University of South Carolina are reportedly developing a camera that has the ability to see the invisible - be it bloodstains or any other substances...
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Ndugu zangu nina ka Pc kangu kalikuwa kanafanya kazi vizuri lkn hivi karibuni kameanza kunisumbua kwenye typing yaani ukiwa unabonyeza keyboard maneno yanachelewa kutokea kwenye monitor yaani...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini wana jf, mimi ni mwanachama mpya wa jamvi hili hivyo sina budi kubiga hodi, hodiii wa jf, nilikuwa natembelea blogu mbalimbali lakini mwisho wa siku nikajikuta nimetua hapa, natumai hodi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello wana Jf, Naomba msaada wa Adobe PDF writer! kwa aliyenayo anisaidie! Thanks
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna msemo kwamba, unaweza ukaandika hello world program katika languages mia, lakini pia bado usiwe hodari. Maanake ni kwamba, huhitaji kujua langauges nyiiingi, ila hakikisha hio unayoijua...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wana jf naomba msaada wa namna ya KUREJESHA faili zilizoliwa na virusi kwenye flash disk,natashukuru kwa msaada kama upo maana nimepoteza document muhimu sana
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BIG MISTAKE,INSTALL WIN 7 KWENYE MAC BOOK,NAFIKIRI ILIKUWA MISTAKE KWA SABABU SIKUWA NA SKILL NZURI YA KUTUMIA LINUX,TATIZO SOUND IMEPOTEA LAKINI IF U PLAY UNAONA KABISA INAPLAY LAKINI SOUND...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom