Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nawasalimu katika jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kama mada tajwa hapo juu naomba kuelekezwa jinsi ya kuzifanya video za facebook zisicheze au kuonyesha bila ruhusa yangu. Hili jambo...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine. Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali. Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini...
0 Reactions
0 Replies
387 Views
Haitoshi kusoma specs za simu kwenye gsmarena, naomba kwa wazoefu WA simu, kunijuza zaidi kuhusu hii simu ya Royole Flexpai 2, interns of ubora wake, na changamoto zake kabla sijafanya maamuzi ya...
0 Reactions
2 Replies
596 Views
Tafuta App inaitwa GLASSWIRE, pakua ndani ya hiyo App utaweza kujua App gani inakula sana MB zako, utaweza kublock App zote za kwenye simu yako zisitumie MB hata kama data iko on, unaweza kuset...
7 Reactions
22 Replies
6K Views
Habari, Neuralink ni kampuni inayomilikiwa na Elon Musk ambayo ilianza project zake mwaka 2016, na moja ya project yake kubwa ni upandikizaji za 'chip' kwenye ubongo wa binadamu ili kurahisisha...
6 Reactions
83 Replies
7K Views
Kuwa makini na mitandao ya kuwekeza pesa ili upate pesa kuanzia SME , IDEA DEBATERS ziko nyingi hizo ni baadhi hawa jamaa ni matapeli na watu wengi wanaibiwa bila kujijua. Ubaya wake mnaweza...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari? Nauza laini ya safaricom 30k napaatikana kimara mwisho. Hii ni kwaajili ya wanaotaka kufungua paypal
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Ni Tv flat screen , mwanzo ilkuwa vizuri tuu Ila saivi nikiiwasha kwa kutumia remote control kamanilivyokuwa nafanya mwanzo. Saivi ile rangi ya taa nyekundu ilokuwa inageuka kuwa bluu baada ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeshauriwa na developer kutengeneza PWA. App yetu ni ya kusomea vitabu. Kabla ya wiki hii sijawahi sikia hii kitu. Nimefanya research nimeona ni kitu kizuri sana. PWA ni websites...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna njia au namna yeyote ya kupata tin number maana niliwahi kusikia kuna njia ya kudownkoad ila sijajuwa ni kwa namna gani? Msaada kwa mwenye kuelewa
0 Reactions
3 Replies
479 Views
Kama una wire ya macbook 60W magsafe charger kama huu tuongee biashara
0 Reactions
2 Replies
361 Views
Nitajitahidi hii mada iwe fupi kadri iwezekanavyo, nikianza na utangulizi kidogo sana kuhusu Web 3.0, Cryptocurrency na NFTs. Disclaimer : Hii mada inawalenga zaidi developers, na haitokua na...
11 Reactions
19 Replies
4K Views
Mbele yako kuna swichi tatu za balbu, moja kati ya hizo huwasha balbu iliyo ghorofa ya chini. Kutoka mahali unaposimama, huwezi kuona mwanga wa ghorofa ya chini, Chagua ni swichi gani...
0 Reactions
1 Replies
759 Views
Mwanzo nilikuwa natumia super general. je, bado zipo sokoni Kwa Dar? zinapatikana maeneo gani? Je, kuna fridge nzuri zaid ya super general
2 Reactions
63 Replies
23K Views
Habari wakuu. Kwa yoyote mwenye uelewa kuhusiana na hii platform ya IDEA DEBATERS inayotrend sana mtandaoni. Naomba ufafanuzi zaidi ya namna inavyofanya kazi na usalama wake wa kuinvest izo pesa...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana_jukwaa? Ni imani yangu mtakuwa mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku. Kama heading inavyojieleza, Nahitaji: 1. Kuweka windows 10 pro na drivers zake kwenye Kompyuta...
0 Reactions
2 Replies
844 Views
UNAJUA KWANINI UNUNUE POCO F4 GT !! Xiaomi wanaendelewa kufanya vizuri kwenye matoleo mbalimbali ya simu Leo hii wameachia simu mpya aina ya POCO F4 GT nchini UK ni simu Kali yenye muonekano...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna simu LG velvet ni mpya nilichukua AE, simu ni toleo la Korea T-Mobile Iko unlocked kwa mtandao wowote shida ukitaka kuunga kifurushi mfano upige *149*01# ujumbe unaokuja ni kama huo hapo...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wana jukwaa, samahani naomba kufaham jinsi ya ku-unfollow kwa pàmoja watu niliowafollow instagram maana niwengi nataka nibakishe wachache tu kama sio kuondoa wote kabisa. Binafs nimejarbu...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Following endless poaching acts in our national reserves I urge our researchers, and other scientists to heavily invest and research on how we can plant genes/DNA or anything that can help in...
1 Reactions
10 Replies
625 Views
Back
Top Bottom