Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tanzania needs to introduce and implement ‘A Clean Atmosphere Act’ as an Anti-Geoengineering Bill.Such a legislation will enable the country to protect the health of its population, trees...
1 Reactions
2 Replies
462 Views
Habari zenu Sina hakika kama hili ni jukwaa sahihi kwa hii mada, lakini Naomba kuiwasilisha humu kwa mwenye kufahamu basi anifahamishe. Nimekuwa nikijihusisha na Blogging kwa miaka 4 sasa na...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
Wadau wa jukwaa la Technology, msaada wenu inahitajika. Ninahitaji hiyo software, computer yangu ilileta shida ikanilazimu niweke window upya.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu. Jioni ya leo nimekuwa nikipokea simu kutoka kwa watu nisiowafahamu, wakidai kuwa wamepokea ujumbe kwa njia ya WhatsApp kutoka kwenye namba yangu unaozungumzia nafasi za kazi...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu.. hii changamoto nawezaje kuitatua..? Status ya aina yoyote iwe video picha au maneno zinagoma kabisa kuwa uploaded.. nimejaribu kufuta na kudownload upya whatsapp shida iko pale pale...
2 Reactions
5 Replies
627 Views
WINDOWS 7 Inagoma kustart na siba utaalam Wa computer, msaada guyz.
0 Reactions
3 Replies
440 Views
Naomba ushauri wa simu ya Samsung ya kununua series ya note ipi nzuri na bei yake Chief-Mkwawa msaada wako Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
1 Reactions
81 Replies
8K Views
Jamani, niko interested na DHIS2, najaribu kujifunza kupitia demonstrations kadhaa. Sasa naona kama inawezekana kuweka setup ya DHIS2 kwenye kompyuta yangu. Nimejaribu kuangalia tutorials...
0 Reactions
0 Replies
476 Views
The story at a glance As technocracy and transhumanism have risen to the fore, they have brought with them their own form of science — “scientism” — which is basically the religion of science. In...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mtu yeyote mwenye iphone mfukoni muda sio mrefu mtafurahia sana huduma mpya ya iOS16 itaposhuka baadaye mwaka huu. Kupitia mikutano wanayofanya kila mwaka ya World wide developer conference...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Msaada kwa wataalamu katika taaluma ya tecnolojia mimi mwenzenu account ya Facebook imefungwa nikijaribu kufungua au kureset password inanielekezea kwenye email ambayo siyo yangu je nifanyaje
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Wadau, Kwanza niweke wazi, mimi si mtaalamu sana wa PC. PC yangu ni DELL VOSTRO yenye specifications hizi kwenye picha. Ila sasa, inachemka sana. Shida inaweza kuwa nini?
0 Reactions
3 Replies
651 Views
Umoja wa Ulaya (EU) umeridhia Kanuni zitakazolazimu simu zote zinazouzwa katika Umoja huo kuwa na 'Port' ya USB-C, uamuzi ambao ni pigo kubwa kwa Kampuni ya Apple yenye mfumo tofauti katika baadhi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi mtu akiku block WhatsApp utajuaje? Ni hivi nilikuwa na chat na demu for first time, niliiweka dp avatar ya Ushimen sasa now neno about silioni, sijajua kama ndio ameni block au la!
4 Reactions
26 Replies
5K Views
Pata huduma hapa
1 Reactions
0 Replies
437 Views
Habarini wakuu mbalimbali nina changamoto ya simu yangu kujizima mala kwa mala baada ya kubadili kioo chake og.maana nilipata ajali kikaweka wino mwisho kikawa hakioneshi kabisaa. Tangia...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
kazi ya hardware ni ngumu sana na yenye lawama nyingi. kuna simu unaweza ukaifungua ukaifunga na ikagoma kuwaka na wakati huo mteja alileta umbadlishie mic tu. na ukatemgeneza ugomvi mkubwa na...
35 Reactions
2K Replies
329K Views
Dah! Simu ambayo inajaa kwa muda wa dakika tatu tu, chaji yake inakaa mwezi mzima kwa mtumiaji atakayekuwa online kwa masaa 12 ya siku nzima! Mwonekano wake wa kuvutia, audibility range yenye...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
kuna data nataka zihamisha toka batabase ya kampuni fulani kwenda Excel ambayo najua ku analyse kwa kuitumia .msaada.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Siku hizi simu zote za ghali utakuta zina material ya kioo nyuma (battery cover). Hii ni kwa simu zote kuanzia iphone 8, samsung s8 kwenda mbele zote mfuniko wa nyuma ni kioo. Kwangu mimi naona...
9 Reactions
42 Replies
38K Views
Back
Top Bottom