Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salam wakuu Natarajia kuanza project ya kurekodi video. Je, ni camera ipi inafaa kwa kuanzia? Na bei yake ipoje?
0 Reactions
4 Replies
776 Views
Habari wana jamii forum Kuna tofauti gani hasa kati ya SOUND BAR na SUBWOOFER kweny swala la kuangalia MOVIE, kusikiliza MUSIC au kucheza GAME. Maana nahitaji sound bar ila najiuliza kipi spesho...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wanajamvi hivi kwenye kampuni ya oppo simu toleo gani zuri ambalo lina vigezo hivi 4ram 64gb Inayotunza sana chaji angalau yanye 5000mah Kamera nzuri Ambayo pia ni slim(yaani sio nene...
5 Reactions
88 Replies
15K Views
Wakuu wangu humu kina Chief Mkwawa na Pirate na wengine wengi... Naombeni muongozo wenu jinsi ya kuifanya Acc yangu ya Inst na Fb kuwa ya matangazo kibiashara. Pia kama kuna malipo kwenye Acc...
0 Reactions
2 Replies
522 Views
Textra hii app ya message iko vizuri sana unaweza kuipangilia vyovyote upendavyo na ikawa na mvuto zaidi kuliko hii app ya google message imekaa kiloko sana, nimeamua kuifutilia mbali.
1 Reactions
32 Replies
3K Views
TikTok inapendwa zaidi na watumiaji mtandaoni kuliko Google ambayo imeshikilia nafasi hiyo kwa miaka 10 mtawalia. Mtandao huo wa kushirikisha video unatembelewa zaidi kuliko Injini ya utaftaji ya...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wakuu nataka kununua Simu ya Samsung S8+ Model number G9555U , baada ya kugugo nimeona ni version ya USA, naomba kuuuliza je nkiichukua itakuwa na changamoto gani???
0 Reactions
8 Replies
881 Views
Kwa zaidi ya masaa 2 inaonekana kuna tatizo la upatikanaji wa huduma ya internet kwa provider wengi, kwa tetesi nilizopata kuna tatizo kwenye mkongo wa taifa , kuna njia 2 za zimekatika imebaki 1...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wadau.. Jana nilinunua simu mpya ya infinix hot 12i. Cha ajabu baada ya kuweka lain haipigi wala hairuhusu kuangalia salio. Ila inaruhusu kupigiwa Tu. Naomba wataalam mnisaidie...
1 Reactions
3 Replies
958 Views
Wakuu nitawekaje limit ya maneno katika posts kwenye hii blogger template <?xml version="1.0" encoding="UTF-8" ?> <!DOCTYPE html> <html lang='en-US' xmlns='XHTML namespace'...
1 Reactions
10 Replies
983 Views
Njia 5 za kuwa salama ukiwa Mtandaoni faragha ya Mtumiaji Kumbuka - Hakuna usiri uwapo Mtandaoni kwa sababu huenda kuna mtu au mfumo unakufuatia uendapo na ufanyacho. Njia za kuwa salama ni...
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Nimetengeneza Blog inayousiana na Mambo ya Utalii iyo apo chini mimi naona iko poa tu sijui nyinyi wataalamu mnaonaje tazama blog Yenyewe apa Tourism In African Country niweka na domain...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Pole na majukumu Wana jukwaa. Wale wenye uzoefu juu ya hizi mashine naomba ufafanuzi juu ya namna zinavyotofautiana katika kufanya kazi. Ipi Ni Bora na kwann?. nilishawahi kutumia canon 2520 Ila...
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Umoja wa nchi za Ulaya (EU) wameamua ifikapo mwaka 2024, watengenezaji wa simu zinazotumiwa ulaya watengeneze simu zitakazotumia Pini ya charger ya aina moja na Pini yenyewe waliyoamuru itumike ni...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimejikuta siwezi kudownload movie kama nilivyozoea baada ya kufungia zile site za kudownload movie hata vpn niliyokuwa nikitumia wameipiga kitofa je wajuzi hapa tufanyeje kuruka kiunzi hiki ili...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu naomba kujua namna ya kutumia SD Card kwenye smart phone mfano nataka record zote ninazochukua ziingie kwenye SD Card.
1 Reactions
4 Replies
527 Views
Nahitaji simu ya bei ya kawaida tu lakini iwe na camera kali kiasi ukimpiga mtu picha amevaa nguo unaona mpaka ndani na kama ni mwilini hadi unaona viungo vilivyoko ndani maini, figo,firigisi...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama umekuwa ukiumiza kichwa, namna ambavyo utaweza kutengeneza website ya kisasa ya biashara yako, basi leo kupitia nakala hii ntakuonesha hatua kwa hatua jinsi ambavyo utaweza kutengeneza...
16 Reactions
39 Replies
8K Views
Ni fedha kiasi gani zitatumika kulipia server kwa site kama hii ya Jamii Forum Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa na hizi mambo
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakuu kwa nyie mnaotumia huduma ya vodacom supakasi baada ya malipo mlikaa siku ngap mkafungiwa huduma sisi tuna wiki mbili tunapigwa Kiswahili tu au ndio mkono mtupu haulambwi. Tuma email...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom