Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu Azam wazindue application yao ya AzamTV Max nimeweza kubaini udhaifu uliopo kwenye application hiyo ambao unampa ruhusa mhalifu wa mtandao kupata channel hizo...
Habari wanajamvi na wapenzi wa games
Mzigo wa DLS 2017 ushatoka kitambo,naomba msaada wa link yake ambayo ipo cracked tayari ili kupata unlimited coins.
Wakuu Habari za jioni
Nina email yangu ya Gmail ambayo nilikuwa natumia pia kwenye simu yangu ya iPhone 7
Sasa wiki tatu zilizopita niliibiwa simu yangu pale mwenge mataa
Ila Leo jioni hii...
Wakuu natafuta mjuzi wa hii modem nimejaribu mimi binafsi nimekwama nimeona nije hapa wajuzi mnaweza nipa muongozo au kama yupo mtu anazi unlock uniunge nae nitshukuru...
Found Applications port...
Ni suala linatatiza mno, unakuta kuna herufi, nukta, mikato, yaani ili mradi tu. Sasa hapo code yenye mchanganyiko wa vitu hivyo unai-crack vipi? Wajuzi karibuni!
Kuna app nilikuwa nahitaji kuinunua play store kwa matumizi yangu binafsi wakati nikijaribu kulink card yangu ya kufanya online payment ikawa inanilazimu niweke postcode ili kukamilisha usajili...
Unajua kwanini imepewa jina la android ?
Toka kuanzishwa kwake mwaka 2008 mfumo mzima wa google android operating system umekuwa maarufu sana ulimwenguni .unajua jina la "android" Lina msisimko...
Habari,
Nina simu Iphone 7 plain haijamaliza hata mwezi tangu ninunue lakini inasumbua charge haitunzi kwa siku nachaji zaidi ya mara nne, nifanyeje wadau?
Tumekua na tabia ya kutumia cracked software au software za wizi bila kujua kuna free altenatives ambazo zina ubora sawa na tunazo iba/crack!
Hizi kwa mtazamo wangu ndio software bora za bure kwa...
Wakuu natumai mu bukheri wa afya. Niliwahi kusikia kuwa ukiwa na SMART TV unaweza kuunganisha kwenye simu yako na ukaangalia mechi za mpira wa miguu live kupitia Link mbalimbali zinazorusha mpira...
Wanasema shida huleta maarifa pale matatizo yanapotokea. Teknolojia ya gari zinazotumia umeme imekuja kushamiri kipindi mfumuko wa mafuta hukishika kasi.
Pitapita zangu ni kuuliza inawezekana...
Wakuu kwema...
Kutokana na changamoto ya bando, nikawa natafuta mbadala wa voda, nikawapata hawa net solution...
Wameniambia watakuja kufanya survey kama ninapokaa connection itakubali...
Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..??
Msaada tafadhari.
I just got a laptop after several months of saving. I'd like to learn data science or Web development vigorously. Is it feasible to learn both? If yes, which should I start with?. I learn one has...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.