Samahani Wakubwa Nahitaji Kujua Maeneo Unayoweza Kwenda Kuomba Kazi Au Kuaply Maombi Kwa Mtu Aliesomea Masuala Ya Cyber Forensic Kwa hapa.
Tanzania Maana Nimejaribu Kuuliza Wengi Walioko Kwenye...
Asalaam Aleikum Ndugu Zangu, Matumaini Yangu Kuwa Ni Wazima Kiafya Na Mnaendelea Na Majukumu Ya Kila Siku
Ya Kujenga Taifa[emoji1241]
Nahitaji Msaada Kwa Upande Whatsapp Yangu Ambapo Awali...
Wajuvi naomba kujuzwa kama upo uwezekano wa redio kubwa maarufu sub woofer isiyo na njia ya kutumia solar kuweza kufanyiwa utaratibu ikaweza kutumia solar.
Nauliza hivi kwa maana kuna baadhi ya...
habari zenu wakuu nisaidieni jinsi ya kusolve tatizo la laptop yangu aina ya acer aspire 4520 ambayo inawaka lakini screen haioneshi kitu zaidi ya weusi wa kiza nini tatizo?
Hola chicos
Siku za hivi karibuni nimepatwa na changamoto moja ambayo imenifanya nisifurahie kabisa PC yangu. Hii PC ni Lenovo Thinckthentre M93 All in One ila kioo chake ambacho kilikuja full...
Salam
Ni Matumaini yangu Mko Salama Kabisa Na Mnaendelea na Majukumu ya kawaida kwa kila mmoja wetu, Niende kwenye Lengo
Nilifungua youtube channel kitambo lakini sikuifatilia sana mbaka ivi...
Habari waungwana, ninaomba msaada dogo ofisini kwangu ka format local disk D kwenye laptop yangu Acer Travelmate p253e. Je program gani inaweza saidia ku recover vitu vilivyofutwa? Sina raha...
Wadau naomba kujua kama kuna uwezekano wa kufuta video ambayo tayari nimei upload kwenye youtube channel yangu. Kama ndio naomba njia za kufuata. Natanguliza shukran
Habarini ndugu wataalamu, naombeni misaada wenu kutatua hii changamoto ya computer kula sana MB, yaan ndani ya dakika 5, unakuta umetumia 500MB, na hapo hujadownload kitu chochote.
Hii...
Platform ya YouTube imetoa mipango yake katika kuongeza njia mpya za kutoa faida kwa Creators. YouTube imetaja list ya njia mpya za kupata faida katika YouTube.
𝗡𝗷𝗶𝗮 𝗺𝗽𝘆𝗮 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗬𝗼𝘂𝗧𝘂𝗯𝗲 𝗶𝗻𝗮𝘄𝗲𝗸𝗮...
Habari ya mchana ndugu zangu, samahani kwa yeyote anaejua au mwenye taarifa za kutosha kuhusiana na DVB t2 Satellite Receiver anisaidie plz.
Maana nmeckia kuwa ni kin'gamuzi kisichokuwa na malipo...
Habari Wakuu,
Nimekuja kwenu nikiwa na uhitaji wa kununua Motherboard ya Dell Inspiron N5050
Tafadhali kwa mwenye nayo tusaidiane, Mimi napatikana Dar es salaam.
Habari za wakati huu wakuu
Pc yangu imekumbwa na tatizo la kushindwa kuwaka. Nikibonyeza power button fen ina zunguka tu lakini screen haiwaki. Kabla ya hili tatizo ilikuwa inatabia ya kujizima...
Wataalam wa tech habari ya majukumu.
Nina laptop yangu nipo nayo karibu mwaka na nusu haijawahi kusumbua mahali popote ilikuwa shwari tu. Ila leo naona ndo mara ya kwanza imeanza kunionyesha...
Wakuu Kwema?
Ps3 yangu ina tatizo la kuwaka na kuzima hapo hapo, ambapo wenyewe wanaita "Yellow light of Death".
Iliwahi kutokea mara ya kwanza mwezi November last year nikapeleka kwa jamaa flan...
Wataalamu nahitaji utaalamu wa kutumia kingamuzi kimoja kwa TV mbili tofauti na kila TV iwe na uwezo wa kubadili chaneli kivyake., yaani niangalie chaneli 2 kwa wakati mmoja.
Mfano wa kingamuzi...
Mtu aniekekeze napataje database hosting kwa ajili ya android au iOS app yangu, nimeunda app lakini inahitaji database, wasi wasi wangu ni kama hapa Tanzanzia kuna hiyo huduma au mpaka nitumie za nje.
Ndugu,
Hatimae nimefanikiwa kumiliki simu niliyokuwa ninaiota kwa muda, Mi 11 Lite 5G. Ndiyo ninayotumia kutype hapa. Sijaona changamoto zozote za kiutendaji kazi, ipo bomba balaa hasa spidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.