Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Waungwana Nina photo copy machine tajwa hapo juu,tangu nimekuwa nayo nashindwa kutumia printer yake maana Sina drivers zake.Cd nayo iligoma kuwa installed kwenye pc.nimejaribu kudownload drivers...
0 Reactions
3 Replies
478 Views
Habar wakuu niko Arusha nilipata mtihani wa kuibiwa simu aina ya redmi note 9s kwa mwenye uwezo wa ku track ama mwenye kufahamiana na mtu wa aina hyo msaada tafadhali.
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu habarini, Niko na hii simu aina ya Sony Ericson ilitoka Germany, sasa noma ni kwamba network yake iko locked kwa line za huko Ujerumani. Kunaeza kua na yeyote mwenye idea ya jinsi ya...
0 Reactions
2 Replies
729 Views
Waungwana pole na majukumu. Kwanza nitoe pongezi kwa wana tech kwani mmekuwa msaada mkubwa sana kwangu maana pale ninapo pata changamoto na kuja hapa tatizo langu huwa linaisha kwa muda mfupi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu ningependa kujua Cloud Storage ya bure na yenye at least GB 30 capacity inayohusisha mfumo wa android, kama unaifahamu yoyote tusaidiane kufahamishana [emoji120]
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Nina pc yangu Dell yenye sifa hizi. Processor ni Intel (R) Celeron (R)N4000 CPU @1.1 GHZ (2CPUS) - 1.1 GHZ RAM 8 GB. Before nlikuwa naweza i connect simu yangu wirelessly ikawa ina display...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za muda huu. Man u poleni, Nina samsung a20 plane inasumbua sana mtandao internet speed yake iko chini sana anaefahamu tatizo naomba anifahamishe. Asante.
0 Reactions
3 Replies
887 Views
Habari ndugu wataalamu. Mwaka jana katika pitapita zangu nilifanikia kudownlod application ya kielimu katika simu yangu, hiyo application ilikua na video mbali mbali za masomo ya shule ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sorry kwa usumbufu jamani nina shida nataka nijue jinsi ya kutumia free Facebook yaan niweze kuona picha natumia Facebook lite apk asanteni!
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi si mzuri kwenye matumizi ya hizi gadgets nk. Nina modem na inafanya vizuri tu, nimeambiwa inaweza kutumiwa (internet) na device nyingine wakati natumia kwenye PC yangu. Naomba kuelekezwa...
0 Reactions
8 Replies
678 Views
Ebana habari zenu wakuu, mm natumia reviever ya Media Star 10000 ferrari, sasa naona kuna hili jambo la ku install free Iptv linanisumbua sana. So kama kuna maujuzi basi tusaidiane wakuu.
0 Reactions
136 Replies
23K Views
Nina azam tv imetumika kama miezi 7. Juzi imeanza no signal check if the wire has been connected. Nikamuita fundi ni me google mafundi azam mtandaoni akaja fundi kahangaika baadae akapata akili...
0 Reactions
3 Replies
655 Views
Naomba msaada jinsi ninavyoweza tengeneza bio gas digest ndogo nyumbani, nataka tengeneza kwa kutumia tank ya lita 100 kwa kutumia malighafi(materials) ninayoweza kupata kwa urahisi ni garama...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kuna Pc ina zingua kioo naomba kujuzwa bei ya kioo ised ktk haya maduka ya kkoo
0 Reactions
6 Replies
779 Views
Nimeinstall hii app kwenye simu yangu lakini nashangaa inagoma kutuma sms lakini ikitumwa kwangu inaingia vizuri kabisa Kwa anaetumia hii app anielekeze jinsi ya kutumia pls
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauliza kama kuna mtaalamu wa kutengeneza appk kwaajili ya kuweka education materials na kuiweka playstore. Ani pm Asanteni
0 Reactions
3 Replies
525 Views
Wana JF naomba mwenye kujua. Je, kuna uwezekano wa ''kuifungua'' iphone ambayo inayohitaji activation lock? Jamaa amesahau Apple ID yake na password kwani hajatumia simu kwa muda mrefu sana...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Jamani naomba kuhuliza hivi Hawa ambao wanapata views nyingi youtube wanatumia jia gani kupata views ao kabisa Au ni njia gani ambayo ninaweza kutumia hili video yangu ipate views wengi nina...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wengi tumezoea kuwachukulia hawa Jamaa wa Silcon valley kila wanachokisema ndio Uhalisia. Kumbe kuna mengi hatuyajui. Unakuta mtu anaimba tu "I wanna be the next Zuck" lakini je tunajua ya nyuma...
1 Reactions
14 Replies
748 Views
Habari za Jumatatu wakuu! Je kuna mtu yeyote humu ndani anayeweza kutengeneza hizo animations au hata mwenye uelewa wowote kuhusu hii kitu? Nahitaji ushauri au mawazo yenu katika hiki kitu, je...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom