Pata hosting kwa Tsh 110,000\= tu ,Hii ikiwa na mambo yafuatayo unayapata kama offer
1)1GB mysql space ,40GB bandwidth.
2) Free domain .tz
3) Free SSL
Please tucheki WhatsApp 0687 535650
Wakuu kuna movies kwenye PC zilifutwa permanent na mtu ambaye bado sijambain.
Naomba msaada wa link ya software nzur inayoweza kuzirecover. Ikiwezekana nielekezwe na namna ya kuitumia...
Mtu tajiri zaidi juu ya uso wa Dunia kwa paper assets mzaliwa wa Africa mwenye uraia wa Marekani ametangaza kuwa tayari kuinunua kampuni ya twitter kwa gharama ya $54 kwa kila hisa.
Ikumbukwe...
Nimejiunga clubhouse ,Sasa kwenye group hili nataka kusoma vitabu lakini nikienda kwenye telegram kuna maneno haya Sasa nashindwa kuelewa tatizo liko kwenye simu au mtandao tafadhali wakuu
Leo nilikuwa nataka kuagiza kompyuta ni kaona kwanza niingie Kwenye mitandao kuuliza na kupata maoni kabla ya kununua.
Kompyuta asilimia kubwa uwezo wake unategemea graphic card kwa maelezo...
Naomba msaada wa kufanya Editing kama picha mbili zinavyojionesha hapo chini. Nataka kuweka text zinazo crawl kutoka left to right lakini mwisho wake ziishie kwenye rangi nyeusi.
Kila nikiweka...
Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu...
Habari kama kichwa kinavyojieleza ni PC gani nzuri kwa ajili ya mambo ya software development (coding) ambayo itakuwa chap plus inaweza kuinstall windows 11 bila kuedit file zake yaan full...
Habari wana jamviii
Nimefungua uzi huu kwa wale mafundi na wataalamu wa kutoa FRP kwenye simu zetu za android.
Naomba tudiscuss software bora ambazo zinafanya vizuri kwenye kufungua FRP security...
WAKUU Natumia TECNO WX3
Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii...
Misaada.
Kuna tv ya kichogo (universe) haipulizi kwenye FBT japo moto unaIngia volt 113.
Nimebadili Diffection,holizont,na FBT lakini imegoma.naomba ushauri wenu.
Commentary: Pamoja na kuwa na potential kubwa, Dar es Salaam haipo. Kuna mahali tunatakiwa kukaa na kurekebisha kama wajasi na kama nchi. Ukiangalia miji iliyopo kuna kitu kwa Bongoland yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.