Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Tunapenda mitaa yetu iendeshwe kidijitali. Hivyo tumejaribu kuleta suluhisho mahususi katika kuboresha huduma za serikali za mitaa nchini, lengo ni kurahisisha upatikanaji wa huduma hizo popote...
4 Reactions
10 Replies
966 Views
Habari za mchana Naomba kujua kama hii website ni ya kweli au ni scammer? http://ferme.marche-eb.com/
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina iphone 7 inasumbua kusoma line..inaweza soma kwa sekunde 40 then ikarud kwenye No Service. Shida itakua nini?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
habari wadau. nina i phone 6s kuna muda inapeleka chaji na kuna wakati haipeleki kabisa yani ni kama inachagua wakati wa kuingiza chaji, ikiwa imezimwa nikiplug chaji inawaka ila ikishawaka tu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nnampango kuanza kupiga picha kwenye ka stationary kangu nnahitaji software inayoweza kutumika Ku edit picha laptop nnayo na printer ya picha.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana...
2 Reactions
8 Replies
902 Views
Nahitaji mwenye kujua namna ya kupata network unlock password ya tecno rc6 kwa kutumia imei. Nipo mbali kidogo sina access ya pc.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
One of the Way is to Join Windows Insiders which will enable you to upgrade to windows 11 even if your pc does not meet system requirements. How to Join Windows Insider Programme? The Windows...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Kwa masikitiko makubwa nawasilisha tatizo lihusulo king'muzi cha azam baada ya kukitumia kwa muda wa mwaka mmoja Leo kimekuja na usemi wa (no program), nimefanya kila aina ya utundu lakini...
0 Reactions
16 Replies
14K Views
Naombeni msaada wakuu nikiweka laini za tigo hazisomi intenet. Simu zenyewe ni galaxy A 71 Na galaxy A 72 Napata shida sana naipenda line yangu ya tigo .inabidi niweke line kwenye simu ingine...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna mjomba angu alikua anasoma Masters of ICT kwa research.Jana ameniambia kwamba proposal yake haipo innovative ( haona mchango mkubwa kwenye jamii) so inatakiwa abadilishe Title na kuanza...
1 Reactions
5 Replies
344 Views
Habari wakuu,naomba kufahamu kama wise wana huduma ya M-PESA hapa Tanzania,pili kama hawana basi napenda kujua card gani inapokea haraka bila kuchelewa. Nawasilisha wakuu. Sent from my M2101K7AG...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Najua [emoji3]watu wengi mna tv na Kuna wakati una safisha Tv yako ili kuipendezesha kuwa na muonekano mzuri. Lakini watu wengi hatutumi njia salama kusafisha Tv [emoji3] wengi wetu tunachukua tu...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
By Hannah Murphy in San Francisco Microsoft said it uncovered attempts by a Russian state-backed hacking group to hack into US and EU government institutions to conduct cyber espionage as part of...
1 Reactions
4 Replies
737 Views
Anayejua namna ya kutatua tatizo hili nisaidieni. Dogo amejibonyezea remote ghafla tv imekuwa hivyo
2 Reactions
8 Replies
1K Views
wakuu samahani yeyote anaejua jinsi ya kuremove outgoing caller ID, kuna mtu alichezea cmu yangu ya tecno akabonyeza *31# ikaingia outgoing caller ID nikitaka kupga simu hazitoki
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Ndugu naomba msaada niweze kupata na kufanikiwa kupata number zakuweza kuzitumia WhatsApp za free nikijaribi kuseach nazipata za kulipia ambazo zinanitaka nijaze taarifa za Kadi ya benk yangu...
1 Reactions
1 Replies
824 Views
Mtandao wa Twitter umetangaza kuwa kwa sasa wanafanyia kazi suala la kuongeza kitufe/button ya kuhariri tweets baada ya kutweet Mabadiliko hayo yamechangiwa na kura ya mtandaoni iliyoitishwa na...
2 Reactions
12 Replies
819 Views
Kuna mtu au watu Toka wanunue simu hawajawahi kufanya Factory reset hata mara Moja? Factory reset process, ni kitendo Cha kuweza kufuta Kila kitu Kwenye simu yako kukifanya icho kifaa kiwe kipya...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo, Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa, Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom