Heshima kwenu wakuu
Naomba msaada, hivi nawezaje kudownload movie za netflix
Yaan nna laptop,nataka nidownload movie kutoka netfl;ix na kulisave file la iyo movie kwenye laptop
Hii inawezekana...
Wadau habari za jioni!
Niende moja kwa moja kwenye mada husika.
PC yangu imepata tatizo la ghafla la kuwaka na kuzima,Yaani kila ninapoiwasha kwenye screen haionyeshi kitu chochote zaidi ya...
Wakuu Mimi fundi madish sasa apa kwa jirani ana dish lake haya ya zamani madish makubwa nlikuwa naomba msaada.kwa anayefahamu frec za itv maana naangaika signal. Sipati kuna watu wameniambia...
I'm sorry ,
Nina changamoto kidogo ya kiuchumi.
MImi ni web developer, ambaye nimepitia ups & down kadhaa katika maisha yangu.
NB:
Physically nina shida kidogo kwenye sikio la kushoto hivyo...
Habari wakuuu Kuna mtu anauwelewa wakubadili apple id kama umesahau password yako nimejaribu wameniambia niwait siku 10 na me niko na vitu vya umuhimu so kama mtu anauwelewa wakuchage apple id kwa...
Kupatana ni moja ya apps ambazo nazipitia sanaa kila siku na imenisaidia kuachana na changamoto ndogo ndogo za kiutapeli, ila kwa sababu ni mzoefu hilo nalimudu.
WARNING: Kua makini na vitu vya...
Wakuu habari
Kwa muda mrefu , ninashahuku ya kujifunza programming language, ila mpaka sasa sijajua nianze na language Ipi, na jinsi nitajifunza..
Najua humu ndani kuna mafundi wazuri wa haya...
Habari?
Wakuu msaada tafadhali. Nina vijana (watoto wangu) ambao napenda wajifunze kupiga vyombo vya muziki kama kinanda (keyboard) na Guitar kwa kuanzia. Tafadhali anayemjua mwalimu ama shule...
Mtandao wa Facebook unamilikiwa na kampuni ya Meta Chini ya Mkurugenzi wake Mark Zuckerberg.
Umefanya Maboresho kwa kubadili Rangi iliyokuwa ikionekana kwenye Hashtag na Mentions. Hapo awali Mtu...
Unaweza kupata kwa kuwa na "koneksheni" toka kwa anko
Unaweza kupata kwa kumpa "chochote" au kuwa "chochote"
Unaweze kupata kwa kupambana
Kama unataka kupata based on merits, hakuna shortcut...
Hii ni kutoka katika huu Uzi niliouleta siku chache nyuma
Unaweza Soma hapa
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1949938/
Kama ilivyo ada huwa siachi Jambo Nililolipanga
Baada ya...
Naomba msaada nimezisikia kuwa kuna YouTube channel zingine hazita husika na kulipia huko TCRA je ni zipi izo? Mimi nataka nifungue channel ya education/tips and tutorial niwe naelekeza mfano ku...
Habari wanaJF.
Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.