Ndgu zangu habar zenu,
Mimi Ni mwanafunzi wa chuo mwaka wa kwanza nna laki5 ninataka kununua PC, lakini sna knowledge nazo Sana najua wengi humu mnaweza kunisaidia.
1.brand gani itafaa Zaid...
WEKA WINDOW 11 MPYA KWENYE PC AMBAYO NOT SUPPORTED !!!
Je unapenda kuinstall window 11 kwenye kifaa chako lakini Changamoto haikubali mean unsupported kutokana na haijakizi vigezo vyote ?
Najua...
Hizi simu za google pixel nimezielewa sana upanda camera zinachukua clear shot mpaka kero
Kwa hapa Bongo Naweza pata kwa bei au zanzibari kwa 3XL na vp kuhusu spare zake hizi simu
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania
Kwa yeyote anayefaham procedure ya jinsi ya kupiga window kwenye desktop naomba anielekeze jaman ili niweze piga kwenye desktop yangu...
Najaribu ku enable RCS via google sms kwa ku switch on chat features lakini kila mara inabaki kusema inaverify number.
Kuna mtu yeyote amefanikiwa kutumia hii feature?
Habari za sahivi wanajamii Naomba niulize Ni host gani ambaye ni mzuri na cheap nimehost site na Godaddy lakini ni majanga zaidi ya majanga. Website yangu inatakiwa kuwa online 24/7 afu nahtaji...
Samahani wakuu ni mdau mwenzenu baada ya kuchoshwa na hizi kazi za kikoloni nataka nifungue kaofisi na kutengeneza laptops na simu..naomba kujua ni box gani inayotumika sana kwa sasa yenye uwezo...
Ilianza kama utani hivi wengi wakawa hawa amini, wengi wakaanza kutoa kejeri na kumbeza kumuona limbukeni tena wengine wa kaanza kutukana na kumuona mjinga. Kwa kijana mdogo sana kufanya maamuzi...
Habari wakuu,
Mimi ni muhitimu wa shahada ya mawasiliano, vile vile nafanya web application na mobile application development.
Nina uzoefu wa kutosha na Object Oriented Programming
Ninadesign na...
Wakuu mimi ni moja ya watu ninaopenda kuwa Software developing ninampango wa kusoma ICT je nitaweza kutimiza ndoto zangu?
Nakama mtu anaconnection ya chuo cha hapa Dar itakuwa poa
Just Read:
Hello. how are you doing?
I am from the Caribbean family and i live in Dallas, TX
I want a website design for my Wife Restaurant opening soon and I will like you to use this image for...
Jamani Mambo vp. Kuna project nahitaji kuanzisha ambayo itahusisha sana sana watu wa vijijini. Hii project ni lengo ya kutoa elimu kwa watu wa vijijini especially kwa wanafunzi wa shule za...
Hili si tangazo la kazi bali natafuta kijana mwenzangu ambae ni programer na yupo kwenye app & web dev.
Nimegraduate last year, computer science, hata kama huna degree ya computer science na wewe...
Matumizi ya javascript yanaendelea kukua kila siku kwa kuwa ndio lugha pekee inayoweza simama pekee yake pande zote mbili yaani frontend na backend aiseh nafikiri uwepo wa node.
JS ni sababu moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.