Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Umeme na mifumo ya saketi zake UMEME Umeme ni nini? Umeme ni mtiririko wa electrons,ndani ya conductor(waya). Mambo yanayo kamilisha umeme. 1.Voltage (msukumo) 2.Current ( mtiririko wa...
9 Reactions
30 Replies
57K Views
Nisaidieni kwa hilo Maana nataka nijiunge nisaidieni kuorodhesha kadri mtakavyo weza Vyuo vya Computer Science Ahsante
0 Reactions
5 Replies
790 Views
Hivi karibuni serikali kupitia wizara ya Habari Mawasiliano na Teknolojia ilitoa takwimu za watumiaji wa simu janja/smarthpone na kusema ni 27% tu ya Watanzania wanaotumia smartphone. Pengine mtu...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Jinsi gani naweza kutengeneza CSV file kwa kutumia simu ya Android? Karibuni kwa michango
0 Reactions
3 Replies
654 Views
habari wana jf, Natumaini mu wazima!! nilifanya factory reset kwenye simu yangu, lakini kabla ya kufanya hivyo nilihamisha mafaili mbalimbali kutoka internal storage na kuyaweka kwenye SD card...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu. Naomba kwa yeyote mwenye ujuzi wa programming in solidity, blockchain na smart contracts anisaidie kuweka function ninayohitaji kwenye smart contract ambayo nilitengenezewa na mtu...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa wapenda music hakuna music player zaidi hii ya poweramp ila baada ya kusumbuka nimefanikiwa kuipata new version[full version,paid] iliyo safi na salama na haisumbui zile meseji za playstore...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari kwenu wataalamu, katika kujifunza C++ Nimejaribu kufanya mfano huu, lengo likiwa ni kuonesha maneno yanayojirudia knye sentensi, lakini sipati matokeo nnayoyahitaji. Nnakosea wapi?
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za humu!! Kipindi cha siku mbili zilizopita nimeona matangazo na baadhi ya video za youtube zikielezea kuhusu hii app ya SamaPay ambayo imeanzishwa na mchezaji wa mpira wa miguu Mbwana Ali...
24 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari naomba kuuliza kwa mwenye kujua site ambayo ni trusted kuuza laptop nje ya nchi anijuze
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Nahitaji laptop bajeti yangu n TSH 750K, naombeni ushauri laptop gani nzuri hata kama kuna kuongeza unishauri but bajeti isizidi TSh 800K. Natanguliza shukrani Sent from my SM-A217F using...
2 Reactions
1 Replies
631 Views
Eti wakuu, hizi sites za photo zinapata vipi pesa?
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kwa wale watumiaji wa Facebook Monetization naombeni Tips za jinsi ya kujaza Form W-8BEN kwa usahihi.
1 Reactions
4 Replies
765 Views
Hi hustlers, I hope you're fine I want to share with you the following cool programming careers apart from being a programmer analyst or data-entry operator as following: 1: Programming...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Unafiki tuweke pembeni kunja USO kunjua roho Simu za OPPO Ni Unyama Sana. Nmemiliki simu ya oppo Kwa mara ya Kwanza Naona inavitu vzuri cha Kwanza ni uwezo wake wa kiusalama MTU akiiba hawezi...
23 Reactions
303 Replies
29K Views
Wakuu vipi nimekuwa nikitengeneza video zangu kwenye pc sasa nataka kuweka youtube je nitapataje copyright ili kuzuia watu kucopy na kupaste. Ukinijuza fanya mimi ni kama mwenye 0 yani sina ujuzi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Salama wakuu. Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows. Asante nisaidieni. Nipo dodoma na mafundi wengi wananiambia ni lazima kupiga chini window then kuweka...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
World's Youngest iPhone App Developer? Taylor Buley, Pierce Freeman, age 14, recently had his first iPhone app approved There are probably tens of thousands of iPhone application developers...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Katika biashara mtu bei uwa inapungua kwa kadri anavyonunua vitu vingi, lakini kwa mitandao ya simu upande wa data za internet imekuwa tofauti. Yani kwa kadri unavyonunua ndivyo unachajiwa zaidi...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Ikiwa uko kwenye soko la simu mpya basi unaweza kutumia muda wako kuangalia kamera ni megapixels ngapi, saizi ya display au jinsi inavyoweza kucheza game. Lakini kuna jambo lingine muhimu ambalo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Back
Top Bottom