Kampuni ya Apple kuzibana Apps zote zinazotumia internet kwenye kupiga simu kama WhatsApp, Telegram, facebook nk katika iOS yao mpya iOS 13 itakayozinduliwa Septemba mwaka huu
Huamuzi huu ni...
Mara ya mwisho kuongelea haya ilikuwa ni 2008, wakati huo tulikuwa bado tunabamizwa zaidi ya sasa, lakini mambo yamebadilika.
The below rates are the current rates of our ISPs in Tanzania, as of...
Habari za hapa na pale wana jamvi!
Naombeni mnisaidie links za kupata software za hacking, Coding, na Antivirus.
Kama ikiwezekana na keys zake pia mnisaidie.
Nitashukuru sana wakuu wangu.
Wakuu nasikia na kuona tu Facebook metaverse lakini sijui ni kitu gani hasa. Naona kama watu wana ishi online kama kwenye ile movie Ready player one au Free guy. Ipo hivyo hasa?
Ni nini faida na...
Mambo vipi wakuu nataka kununua simu ya nokia 6.1 plus kutoka ali express ni refubrished kwa wale wataalamu hii kibongo inaweza piga kazi vizuri upande wa mtandao mawazo yenu tafadhali.
Wakuu mafundi na wana teknolojia ya simu nisaidien hili simu yangu ndogo ya Nokia ina sauti ndogo ya kusikiliza .
Hata kama nikiongeza mpaka mwisho napo sauti ni ndogo hadi niweke loudspeaker ndo...
Naomba mnifahamishe, hivi kati ya XIAOMI na OPPO ni ipi imezidi ubora katika maeneo mengi ya specifications?
Nataka kununua Redmi Note 9 Pro je inafaa?
Nimekuwa interested na Tvset za Itel, kwa picha zinaonekana ziko bomba na future kali sana.
Shida sijui zinapatikana wapi, kwenye post zao awasemi wanapatikana wapi, maduka yao yako wapi pia...
Tanzania imeshika nafasi ya Pili kati ya nchi 43 za Barani Afrika zilizoshiriki kwenye dodoso kuhusu Usalama Mtandaoni, lililoandaliwa na Global Cybersecurity Index (GCI).
Pia, kati ya Nchi 155...
Kampuni ya meta iko mbioni kushusha whatsapp yenye menu za kiswahili ili kueleweka zaidi wa jamii ya watumiaji wa kiswahili.
Kiswahili cha kenya ndicho kitatumika maana kenya ndio inajulikana kwa...
Wakuu naomba elimu kuhusu hilo, mimi ni mbumbumbu katika haya masuala.
Nilikuwa napitia Aliexpress nkawa naona bei za simu ziko chini mno kulinganisha na gsmarena au uhalisia wa huku madukani...
IntelPetro
Pump Automation With Accounting
& Inventory Management Software
naomba wenye ujuzi na hii software au hata kama ipo nyingine hapa kwetu
je ni nzuri ? Ina meet requirements zote za...
Habari wana Jf.Naomba kuuliza,hivi ni kweli kutumia Simu wakati wa Mvua yenye ngurumo za radi kuna madhara yoyote yanaweza kumkuta mtumiaji?Simu na radi kuna uhusiano gani kitaalamu katika inshu...
Ni miaka nenda rudi haya matatizo ya umeme yanasumbua kwakweli.
Nahitaji walau nikae mwaka mzima bila kuijua shida ya umeme.
Je, ni bajeti kiasi gani inahitajika.
Transistor
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.