Wakuu, sina mengi ya kuandika, heading inajitosheleza na picha nimeambatanisha.
Kuna channel naona wameweka mizigo ya maana ya kivita ila nashindwa kuzidownload
Nawasalimu wanajukwaa.
Simu aina ya Vivo imeingia kwenye Child Mode, nikijaribu kuitoa inataka niweke screen lock password wakati sijawahi kulock kwa password na wala sina hiyo password...
Kwakweli Apple na product yake ya iPhone ni kama vile ni unstoppable, iPhone 13 imefanya vizuri sana na kuirudisha apple kwenye nafasi ya 1 kwa mauzo na mapato nchini China.
Kama mnakumbuka kuna...
wadau kwa yeyote ansyeifahamu Android app ya kuboost caller voice maana saut ya sim yangu infinix ninapoongea na sim napata tabu very low voice, nimejaribu baadhi ya App toka play store hakuna...
Kampuni ya Apple itaachia ios 15.4 itakayokuja na vipengele vingi na kimojawapo ni sauti ambayo huwezi tambua kama ni ya kiume au ya kike kwenye Siri.
Msemaji wa Apple amekiri kuwa waliajiri...
Ukiangalia kitu kama Kindle; biashara ya ebook ya amazon, hairuhusu uchapishaji wa vitabu vya kiswahili na hsli inakubali vitabu vya lugha nyingi ambazo ni ndogo kuliko kiswahili. Cheki hawa...
Wakuu Heshima kwenu..
Kama nilivyoelezea hapo juu nahitaji mtaalamu atayeniongoza kununua bidhaa mtandaoni ambaye nitaonana naye ana kwa ana...na nitalipia gharama za huo mchakato.
Natanguliza...
Ndg zangu ktk jf.najua wengi wetu uwa tunapatwa na matatizo madogo madogo katika simu zetu na pengine kwa kutokufahamu tatizo huwa tunachukua uamuzi wa kwenda kwa fundi simu au kupiga simu...
Kwa wale wote wanaomiliki au ku operate machine tajwa hapo juu, basi karibuni sana nimefungua uzi huu mahsusi kabisa kuwakutanisha watumiaji wa machine hizo, lengo ni kukabiliana na changamoto...
Naomba kufahamu namna mtu anaweza kufanya investment ya meseji za USSD codes.
Nani service provider hapa bongo?
Charges zake zipoje?
Wanaofanya wanapataje faida?
Opportunities zake zipoje kwa...
Wakuu habari ya majukumu,nimejaribu kutafuta mada ya kuhusu freelancing humu jukwaani sipati lakini kumbukumbu zangu zinaniambia hii mada iliwahi zungumziwa humu jukwaani.
Kwa sasa ishu na...
Habari Wakuu
Natafuta app ya android ninayoweza kutumia kupiga Simu kwenda nje ya Tanzania kwa kutumia VoIP (voice over internet protocol).
Nimejaribu VoipStudio haifanyi kazi. Ningependa kupata...
Leo nilikua napitia baadhi ya website za taasisi zetu hapa nchini
moja ya taasisi kubwa tu ya IT juzi juzi hapa walifanya update ya system yao wakaongeza baadhi ya features na function mbalimbali...
Natafuta smart TV nchi 44, kubwa zaidi au karibia na hiyo. Napata wapi hapa mjini Dar hasa maeneo ya Kariakoo?
Je, ni brand ipi bora kwa sasa? Bei yake ikoje?
Salamu wana Jf..natumai wote ni wazima,Kama Kuna mgonjwa Basi Mungu akuponye
Simu yangu ni aina ya Infinix Hot 10,hii simu inazima zima Sana na ikizima huwa unachukua muda kuwaka,huwa unachukua...
Hello ndugu zangu naomba kuelimishwa namna gani naweza kuunganisha fingerprint kwenye mlango na smartphone. Mwenye uelewa a share na mimi.
Nahitaji kuongeza watumiaji wa mlango na kuset password...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.