Hi kwa wanateknolojia wa Jf.Niende moja kwa moja kwenge tatizo lililonikumba. Betri (CMOS Battery) ndogo ya CPU ya Hp iliisha nikafanya mkakati wa kuisaka lakini nikiwa kwenye mchakato nikasema...
Nina MACBOOK PRO
Nahitaji kuiwekea
1. HIGH SIERRA
2. FINAL CUT PRO X
3. LOGIC PRO X
4. REASON
5. GARAGE B
6. EXCELL-WORD-PWPOINT
7. PREMIER PRO
8. PHOTOSHOP
9. ILLUSTRATOR
10...
Urusi imekuwa ikishutumiwa kwa kupanga kutumia silaha za aina ya thermobaric - zinazofahamika pia kama mabomu ya vacuum -katika uvamizi wake wa Ukraine.
Silaha hizi ni tata kwasababu husababisha...
Hello mates kwenye jukwaa hili la Tech, Kwa wale wenye uhitaji wa kujua au kushea ideas Juu ya Google Google Adsence Tukutane hapa.
Je, unamiliki Blogu, tovuti au Channel ya YouTube ungependa...
Toleo letu jipya la simu za CAMON 18 Series ndio simu janja kwa sasahivi yenye sifa kabambe. Sifa kubwa zinazopatikana katika simu za CAMON 18 Series ya kwanza ni GIMBAL CAMERA hii ni feature...
Wakuu nilikuja humu kuomba ushauri kuhusu box gani nzuri ya kununua sikupata majibu katika kuulizia kwa mafundi wenzangu wakanishauri UFI box itnaweza nifaa kwa bajeti yangu na nikiangalia youtube...
Nilikuwa napata shida sana napotumia simu za android kabla ya android 10. Ilikuwa kila ikipita miez kama 4 lazima ni restore simu maana inaanza kuwa slow na apps zinaclash clash. Hii ilikuwa...
Ni matumaini hatujambo sote,
kama heading ilivyo nimefunga single phase 2kva Automatic Voltage Stabilizer ili ku protect submersible water pump 1hp (750w) lakini imeshindwa kubeba ku trip...
heri nikose apps zote kwenye simu ila sio hizi mbili 🤣 🤣 🤣 🤣
apple music kwa ajili ya kusikiliza miziki
amazon kindle kwa ajili ya vitabu
labda naweza pata ya ziada apa
Hivi polisi wanawezaje kupata Simu iliyoibiwa
Nazani kichwa Cha habari kinaeleweka [emoji849] ?
Au basi ngoja nikuulize tena Umeshawahi kujiuliza ni vipi polisi wanaweza kupata taarifa ya...
Ni kwamba zinawekwa ferry tatu (3) tu ndefu na zenye milango mirefu ya kufunguka ambapo zinagusana mwanzo hadi mwisho na hivyo kutengeneza barabara inayoelea baharini.
Na ikitokea meli inataka...
Roketi iliyorushwa na kampuni ya uvumbuzi wa anga za juu ya bilionea Elon Musk inakaribia kugonga ndani ya mwezi na kulipuka.
Chombo kinachosaidia roketi kulipuka kwa Falcon 9 kilikwenda katika...
Mwaka jana mwezi wa 9 nilinunua simu ya Samsung S9+, niliachana na matumizi ya Tecno na Infinix. Baada ya muda kwa bahati mbaya simu ilianguka, na kupasuka kioo.
Ilianza kunisumbua sana, hatimaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.